Naomba Ushauri: Natafuta Projector Nzuri kama Mbadala Wa Flat Screen TV.

Gien Banks

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
345
Reaction score
929
Wasalaam Wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu...nlikua nataka kujiongeza kdgo nichukue flat screen tv ya bedroom kwangu...going thru the internet likaibuka wazo la kuchukua projector.

Hvyo basi kwa wajuaji naomba mnielimishe...

1. Je kuna projector zenye in built TV (i think sehem za flush disk zitakuwepo for movies, presentations and the like)

2. Changamoto za projector ziko vp ?? Lol na Ivi ile mionzi long term ina madhara ?? Maintenance challenges ??

3. Natafuta kitu chenye high quality picture...mawazo yenu hapa yatakuwa ni ya mbolea sana. Pia naomba mni suggest maduka yenye vitu genuine.

Ahsanteni Wadau.
 
hello mzee, "STARTIMES" wana hii kitu kaka, though hawajaitangaza kabisa, na ni product nzuri sana kwani nilinunua pale

wana projects tv hii ni projector lakini ipo integrated 'in built' with TV ndani, pia unaweza tumia kama PROJECTOR, its very nice na hata ile bulb ya ndani life span yake ni kubwa sana,

kama upo dar nenda pale bamaga ofs zao kubwa, wanatoa na warrant ya mwaka mzima unapewa na display screen yake

1541147000750.png
 
1541147224914.png

pia unaweza connect na other decoder like DSTV, au unaweza tumia decoder yao
 
hello mzee, "STARTIMES" wana hii kitu kaka, though hawajaitangaza kabisa, na ni product nzuri sana kwani nilinunua pale

wana projects tv hii ni projector lakini ipo integrated 'in built' with TV ndani, pia unaweza tumia kama PROJECTOR, its very nice na hata ile bulb ya ndani life span yake ni kubwa sana,

kama upo dar nenda pale bamaga ofs zao kubwa, wanatoa na warrant ya mwaka mzima unapewa na display screen yake

View attachment 918739
Bei yake
 
Andaa jiwe tano kwenda juu kama unataka ya high resolution

Chini ya hapo , andaa maumivu ya kufunga madirisha na mapazia gubigubi ili kuleta kiza minene na projected screen yako kuweza kuonekana !
 
Nataka nipite huko sasa hivi. Hivi hzo bulb kwa ndani zikifa....je spare zipo zinapatikana kwa urahisi ?? Na ni yoyote tu waweza weka ??

Bei ya hio kitu bei gan ??

Thanks for your response mkuu.
 
Andaa jiwe tano kwenda juu kama unataka ya high resolution

Chini ya hapo , andaa maumivu ya kufunga madirisha na mapazia gubigubi ili kuleta kiza minene na projected screen yako kuweza kuonekana !

Brand ??

Location ya Duka ??

Bulb ya ndani inadumu muda gani ?? Ikifa spare inapatikana kwa urahisi ??

Gurantee / Warant ??

Many Thanks.
 
Wasalaam Wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu...nlikua nataka kujiongeza kdgo nichukue flat screen tv ya bedroom kwangu...going thru the internet likaibuka wazo la kuchukua projector.

Hvyo basi kwa wajuaji naomba mnielimishe...

1. Je kuna projector zenye in built TV (i think sehem za flush disk zitakuwepo for movies, presentations and the like)

2. Changamoto za projector ziko vp ?? Lol na Ivi ile mionzi long term ina madhara ?? Maintenance challenges ??

3. Natafuta kitu chenye high quality picture...mawazo yenu hapa yatakuwa ni ya mbolea sana. Pia naomba mni suggest maduka yenye vitu genuine.

Ahsanteni Wadau.
Ungeweka bajet yako kwanza ungepata ushauri mzuri zaidi, kma kweli unataka at least good picture quality andaa angalau 1.2m tena hpo unapata. Yenye native resolution 800pixel na lumens kma 2000(Android) au basic.
 
Mimi sina tatzo kuhusu budget anything betwen 500K to 1,500K is cool.
Ila still unaweza kuta kitu cha 700K ila kina function kama kitu cha 2M ndio sababu ya kuja hapa Jamvini. Na humu from experiences za watu lazima mtu utalamba Joker tu (Hutopotea).

Many Thanks Mkuu.
 
hello mzee, "STARTIMES" wana hii kitu kaka, though hawajaitangaza kabisa, na ni product nzuri sana kwani nilinunua pale

wana projects tv hii ni projector lakini ipo integrated 'in built' with TV ndani, pia unaweza tumia kama PROJECTOR, its very nice na hata ile bulb ya ndani life span yake ni kubwa sana,

kama upo dar nenda pale bamaga ofs zao kubwa, wanatoa na warrant ya mwaka mzima unapewa na display screen yake

View attachment 918739

Nimepita Startimes HQ leo. They no longer have these.
 
Watu wanaulizia projector za million 1 wengine hela ya kodi hapa tunarudi usiku kumkwepa father house lakini ndio maisha.

Hahaha kaza anko. Ndio game hilo. Just make wise investments bruv. Look around and see what u have and capitalise it. Wachache wanaanzia juu.

Nimecheka Sana Daah. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Projector ya kisasa

-Angalau 1080p native resolution. Wengi wanakuambia projector ni ya 1080p ama 4k lakini unakuta native resolution ni 480p ama chini ya hapo ila ina uwezo tu wa ku upscale kwenda 1080p
-iwe na HDR10 na support za kisasa za mabilioni ya rangi pamoja na hii Dolby vision.
-X265 kama kawaida.
-3d
-lumens za kutosha tegemea na mwanga unapoangalizia

Mfano hii
http://amznly.com/4li

Kuhusu pa kuipata agizishia tu online. Bongo vitu kama hivi utapigwa projector za kishamba
 
Back
Top Bottom