Recent content by Semeni Bugoke

  1. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio utani mzee kumbe Kuna mikeka ya ya kuutolea macho.. Usiogope odds 😁
  2. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Penye Big Risk ndipo penye Big results kaka
  3. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Eeh boss imetoa vipi uliishi nayo?
  4. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bila kuchelewa
  5. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Odds nane za OFI CRETE mtasema hamzioni
  6. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Hudumieni wake zenu

    kwa rungu la mti wa mpingo…
  7. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Hudumieni wake zenu

    Kwa mibluu mitatu? Miaka ya 90s msimbazi ulikuwa unaitwa bluu.. Sasa mkuu jamaa katoa barua kalipia mahali na mitoto kamzalisha we unataka ujione na 30k yako mtu… Nzi mwenye kelele hana bahati kwa maana hufa dakika za mwanzo…
  8. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari ili nipate passport??

    Hadi leo hujapata koba mkuu?! 😳
  9. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume tunaopenda wadada wembamba bado tupo au ni mimi tu?

    Heheh.. mbu mwenye kelele hufa dakika za mwanzo!
  10. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa mkoa wa pwani

    Laki 5 hadi 8
  11. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Kuwe na usafiri maalum kuwasafirisha watu wenye matatizo ya akili, leo tumenusurika kifo baada mtu mwenye matatizo hayo kumpiga kabari dereva

    Inavoanza inaonekana kama tukio la kuchekesha na unaweza anza tabasamu kadri unavozidi kuisoma ndiyo unakuta khe! Kumbe sio stori ya kituko kumbe ni mambo serious!..
  12. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Unaijua skanka (Skunk)?

    Gramu 20 faru!? Yaani buku tano? Wapi hilo chimbo!.
  13. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, Tafuta mahari Umlipie Huyo Mwanamke, Hata Kama Hana Bikra

    Ukikua utatambua sasa hivi bado upuku puku wa mavi hujatoka kwenye hiyo medula yako… Wewe utakuwa baba Mjinga
  14. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, Tafuta mahari Umlipie Huyo Mwanamke, Hata Kama Hana Bikra

    Kobaz ndiyo maana yake nini!? Pia sidhani kama uko sawa kwenye medula yako! Kuoa ni umalaya? Kama una watoto basi wamepata baba mjinga..
Back
Top Bottom