Recent content by Semboko

  1. S

    Nani Mkali wa Voice Over?

    Niongeze tu 90's.. 1.Taji Liundi (Matangazo ya Plan International,Sabuni ya Kodray) 2.Mike Mhagama (Mtangazo ya mwaka mzima ya Bia ya Kibo Gold) 3.Othman Njaidi 4.Makanga Lugoe (ML Chris)
  2. S

    Boss Kusaga wa CMG mbona unadangaya watanzania hadharani?

    Kussaga yuko sahihi ila sio kwa upande wa Radio.Yuko sahihi kwa upande wa yeye kama promota (Kabla ya wazo la Radio) na bendi yake ya Mawingu ambayo ilitoa nafasi kwa vijana wakati huo kuimba.Pia studio yake ya Mawingu moja ya studio za mwanzo chini ya Boni Luve kurekodi nyimbo za kizazi...
  3. S

    Yuko wapi aliyeimba wimbo wa Watoto Wasafi moyoni show?

    Hapana ni watu wawili tofauti ila ninavyojua walikuwa washikaji wa karibu sana na Deo alipokuwa akisoma Makerere akirudi Bongo alikuwa anafikia kwa huyo jamaa mbagala.Na sidhani kama hata ni ndugu ni washikjai tu.
  4. S

    Mastaa wasiopata hadhi wanazostahili Tanzania

    "HAYATI MTOTO WA DANDU: Hayati ng`wana Maria,Nzoka Ihenge ni staa ambaye aliipoteza roho yake kwa ajali ya gari.Mtoto wa Dandu ndiye aliyetoa wazo la uanzishwaji wa tunzo za Kilimanjaro na tena alitumia jina Kilimanjaro ili kutangaza mlima wetu huu ambao ni tourism attraction.Basata mpaka leo...
  5. S

    Diaspora hawapendani

    Duh...Hivi huyu dada kafika Los Angeles juzi juzi nini? Maana nina M/washikaji zangu wako Los Angeles kuanzia Pasadena (Rich City) mpaka Santa Barbara na wamekaa huko miaka zaidi ya kumi.Hawa watu wametuliza maisha na wanajilia taratibu vya kwao bila kele..sasa huyu dada labda kafika juzi juzi...
  6. S

    Mike muhagama aliyekuwa radio one

    Kile kipindi kilikuwa kinajuza watu weng sana kuhusu "mastar" wetu.Nilipenda pia kipindi cha Top Ten cha jumapili. Mesema kweli Rap Time naona walikipiga mkwala maana zilikuwa zinagongwa Hip Hop za ukweli lakini nasikia CoCaCola wakachukua ile spot.Nilimsoma Jide kwenye Raimwema akisema kipindi...
  7. S

    Mike muhagama aliyekuwa radio one

    Nyabhingi, Tuzo nyingi za siku hizi ni za kupeana na ndio maana zinatia mashaka.Wakongwe na waliochapa kazi haswa kufikia hapo walipo hawathaminiwi tena kwa hiyo siku hizi unaweza hata kusikia aliyeanza kazi wiki iliyopita anapewa tuzo ya "ukongwe" katika fani fulani. Kwenda na mada,cream ya...
  8. S

    Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi?

    Niseme tu mimi si mwanacama wa chama chochote cha siasa na sitokaa nitetee rushwa au wizi na hata uzembe.Kwenye hili huyu Mama ni guilty only by association.Ukaribu (undugu) wake na familia ya Rugemalira na misaada imemweka pabaya kwenye hili sakata.Mchanganuo wa ile pesa uko wazi kuwa...
  9. S

    Yuko wapi aliyeimba wimbo wa Watoto Wasafi moyoni show?

    Kichuna,Amina Chifupa alianza hivyo hivyo,mwisho "akafundishwa" utangazaji na akina Mike Mhagama na Deo Mshigeni,baadaye akaupata ubunge.Mungu amrehemu alikuwa mbunge matata sana na shukrani ziwaendee waliomfanya awe maarufu.Kutembea kwako kwa miguu basi wewe ulikuwa unakaa...
  10. S

    Emmanuel Nkulila yu wapi?

    "yupo cali,ni raia wa marekani sasa,alimpeleka mike mhagama L.A kupiga box" Bwana Maandamano una uhakika na unachokisema au ushabiki tu wa mtaani? mbona iko wazi kuwa Radio One ndiyo iliyompeleka Mike Mhagama Marekani kwa kozi ya miezi sita lakini hakurudi tena? na hili liko wazi kwani kila...
  11. S

    Yuko wapi aliyeimba wimbo wa Watoto Wasafi moyoni show?

    Utashangaa kwamba aliyeimba rekodi "Watoto (1986)" ni binti wa kihindi anaitwa Nipa alikuwa na miaka 6 wakati huo.Varda Arts ni wasanii wa kihindi ambao waliishi mkoani na kuhamia Dar baadaye.Kazi yao kubwa ilikuwa ni kupiga picha na baadaye wakageuzia muziki.Walitoa rekodi kama "Tazama Tanzania...
  12. S

    Wasomi wa Tanzania na rushwa

    Sidhani kama usomi ni kigezo cha kuwa kiongozi bora.Tanzania tuna viongozi bora ambao ni elimu ya ngumbaro.Lakini pia nitanabahishe kuwa wasomi wachache wanaipaka matope nchi yetu kwa ulafi binafsi na hulka ya wizi huku wakitumia mipenyo dhaifu iliyopo.Tukumbuke tulikuwa na mtu kama Dr.Tuntemeke...
  13. S

    Balozi wa Tanzania Dubai: Ndg Omar Mjenga

    Lemont Bishop- Kiprotokali bado kuwa Balozi kamili ila ni Balozi wetu mdogo Dubai.Sifahamu sana elimu yake ila ninavyofahamu alikuwa mwakilishi wa UNOPS huko Sierra Leone kwa muda.Inasemekana yuko karibu sana na mtoto mkubwa wa Mkuu wa nchi na mara baada ya mkataba wake UN kwisha alipewa kazi...
Back
Top Bottom