kuhusu ajira zinazidi kuwa ngumu mnoo hasaa miaka hii ya 202+ tutapitia ugumu mwingi sana kuipata ajira, hivyo kuna njama nyingi sana tunatakiwa kuweza kuzitumia ili kupata ajira katika taasisi za kiserikali au zisizo za kiserlikali.. tukibakia huku kuapply na kufanya interview ambako...
Nataman nikushaurii vitu ilq naona weee ni mpanbanqji mzuriii. Skia fanya ivi kama kwelii ulikuwa unaiweza forex na ukatusua ivyoo ila ukafanya makosa jifunze katika hayo makosa rudii sokon nakama unaona huna maaarifa mengi lipia course soma kwa mtu anaeaminika ndani na njee ya tz. Huku ukiwa...
Nazan ifike mahala sasa sheria itungwe kwamba mwalim yoyote akiwa ameajiriwa serikalin ndanii ya miaka mitatu au ameshaoa au kuolewa na kama ikishindikana hapo atolewe kaziin mpka atakapo oa ndo arudishwe. Hili tatizo nimeliona kipind kirefu sana na pia hiii miaka 30 iwe yetu siis rahia...
Nimekaa Ubungo kwa mdaa wa miaka miwili na ninajua namna biashara zinavyoenda pale japo sio snaa maaan sijawah fanya biashara maeneo yale Kiutaalam izo sehem zote ulizozitaja zipo vyema kwa biashara ila kwa kuwa ubungo bado ni shopping area na mbezii ni development area .
Hivyo basiii...
Mimi kwanza ndio bado sina kaziii na wala sina ata mia hapa na jana sijala nimekosa hela kama ulivyokuwa unakosa wee mkuuu emb. Nipe ata mchongo naweza fanya nipate na mm hela. Nina elimuu ya chuo kikuuu tena ud . Emb okoa jahazii mm naweza beba ata zege tuanzie hapa alafu hio milion 15 tutajua...
Siku hizi wanawake wamekuwa niwatu wanafanya vibiashara vyenye kuwapa 10000-50000 kwa siku sasa hiii huwapa Sana confidence wanawake nakuoa kuwa nawao wanaweza kuwa baba ndo maaan sikuiz masingle. Maza wanazid kuongezeka hapa mjini na wengine wanpenda kuwa masingle maza yaaan.
Pia wanaume...
Naomba utoleeeeee ushuhuda kwangu😂😂😂😂😂😂😂rhaaa yake nikwamba munakuwa munaangalia milango yote na madisshani yote kama kuna mtu anakuja ila kwa chumban utashangaaa mtu anaingia chumbwiiii huelew katokea wapi
KWAnza nikufahamishe kuwa. Ceo nimuunganish kati ya board of directors na na employees pia huchukua nafas ya kufanya maamuz makubwa ya kampun pia huyu hawii ceo kwakua anashare nyingi au ndogo baliii huchaguliwa na board of directors
Sikiliza wataaalam hapa wakikupa maaan ya ceo
What Is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.