Recent content by SELEY LEYASE

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama hujang'amu kushindwa kwa CCM, soma alama hii ya Nyakati

    wachache wanaomchukia Lowasa hawatutishi mamilioni tunaomkubali. Hizo ni kelele za chura.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wazo: Uitishwe Mdahalo kati ya Magufuli Vs Lowassa

    Tunataka rais mchapakazi siyo mpiga mboyoyo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Bunge Kutumia zaidi ya MILIONI 500 kutengeneza FIMBO..

    Ile machela ilyombeba Dr Livingston miaka elfu kadhaa iliyopita ipo makumbusho hadi leo na ni ya miti na aina hiyo ya miti bado inapatikana! Kwanini wasiitafte uo mt watengeneze ilo Siwa? Au ni mbinu tu ya kujitengenezea fursa zao! Yani ningekuwa na uwezo ningejifungia mabomu nikafe nao ili liwe...
  4. S

    JamiiForums Tanzania RASMI USHOGA: Shinikizo kwa JK

    Tz bila ushoga inawezekana!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke unazaa na mwanaume halafu unaolewa na mwanaume mwingine, unamwita mtt kwa jina la huyo mume

    kama mwanamke ndiye aliyenkimbia akiwa na ujauzto hapo itakuaje?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa mtoto kunyonya kidole na uwezo wake kiakili

    kichanje kwa wembe we c mkubwa! Na usipofanya hivyo hakuna njia nyingine ya kuacha! Me nliacha kwa njia hiyo nkiwa m2 mzima kabsa!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Bendera ya China kupelekwa mlima Kilimanjaro

    Hadi mlima umebinafsiswa! Ni siku tu utaskia watz wote wamebnafsiswa! Chezea Mzaramo we!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Lowasa!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Kuhusu kashfa ya richmond Lowasa aliamua kuachia ngaz na kutulia lakini ishu zote izo alipewa go ahead na Prezda! Hakuna ambacho alifanya bila idhini ya Mr Przdnt!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Lowasa!!!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

    wizara kama hii nyeti siyo mahali pa kufanyia majaribio! So akishaboronga ndo tuanze kuhoji!! Hii ni sawa na mtu amezama kwenye baharini alafu unamleta muokoaji asiyejua kuogelea! Hiv ni nini kitatokea hapo? Jibu unalo
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mlipuko tena Arusha, jeshi la Polisi watuhumiwa

    Kosa au tatizo au chanzo nini hadi waumini wapigwe bomu? Bado me hii habar cjaielewa!
Back
Top Bottom