Recent content by selesuk

  1. S

    JamiiForums Tanzania BBC, DW, VOA, Aljazeera yamtangaza Lowassa dunia nzima

    kutangazwa na vyombo vya habari vya nje si hoja ya msingi ya kushinda. wametangazwa wengi lakini hawajashinda tafuta hoja nyingine
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la kupinga matumizi ya Kiswahili kama lugha ya kufundishia Kapuya aungwe mkono!

    hao wanaotaka lugha ya kiswahili iwe ya kufundishia wanataka watoto wetu wawe WAPAGAZI wa watoto wao.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Isack Maro wa kipindi cha Njia panda (Clouds FM) apata shavu Radio Japan (NHK World)

    MPH huwa wanasoma hata wasiosoma medicine na husomwa kwa mwaka mmoja tuu, ndio maana watu wengi hukimbilia..
  4. S

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Baba ajamiiana na mtoto wake wa miaka 9 mbele ya mama wa Mtoto

    Huyo mganga nae kwanini asiitwe mahakamani aje atoe ushahidi.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    jamani nyie hamumjui Gwajima vizuri, ni mtu mmoja wa ajabu sana
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

    Kuna watu wengine kama wamerogwa hivi......
  7. S

    JamiiForums Tanzania Inspecta Haroun

    Kila zama zina watu wake, wasanii wetu hawalitambui hilo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

    ni kampeni, haiwezekani wala haifikiriki wazee kutoka bagamoyo kwenda dodoma kumpatia pesa laki 7 ndugu lowasa eti achukue form ya kugombea urais, ni mahaba gani hawa wazee walionayo kwa lowasa na kumpatia hizo pesa??? THERE IS SOMETHING BEHIND
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    Msijidanganye. SLAA kamwe hawezi kuwa rais hapa TZ.
  10. S

    JamiiForums Tanzania University of Dar es salaam yashika nafasi 37 vyuo bora Africa

    wametumia vigezo vip???
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    sidhani kama kiongozi yoyote yule especially, barani Africa anaingia madarakani bila ya mkono wa rushwa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Pole sana mama Tibaijuka, Ungesoma alama za nyakati usingepata fedhea hii

    Kilichomponza TIBAIJUKA ni pesa kuingia ktk account yake badala ya shule pia خ
Back
Top Bottom