Kumekua na matangazo mengi katika majarida, mitandao na hata katika mabango mitaani kuhusu dawa za kuongeza au kunenepesha maumbile ya kike na kiume bila kuwa na side effects!!!!
Binafsi nimejaribu kujielimisha juu ya Ulimbukeni huu unaotamalaki katika jamii yetu. Sijapata ushahidi wowote...
Kiwango cha uwazi ni kikubwa! Sheria zao zinatoa nafasi kwa demokrasia kutendeka. Wizi wa kura wa Tanzania ni wa wazi mno. Yaaani mnakamata makaratsi ya kura waziwazi na Tume inapiga kimya! Uwazi ndo hakuna kabisaaaa! Pamoja na ubaya wa siasa zao kuwa za kikabila still Tanzania tunayakujifunza...
Mpima vigezo ni nani? Kanisa ni kubwa kuliko individual. Kanisa katoliki lina historia! Heshima ya kanisa haihatarishwi kirahisi namna hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanisa halishughuriki na umbeya. Ingekua mke wake amewahi kulalamika na kanisa likatambua na Yeye akakiri kuwa anavimada basi asingepewa huduma hiyo. Dhambi za siri wao hawajui ila ikiwa bayana utaisoma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni Uzushi! Kanisa katoliki haliangaliii jina, fedha, wala umaarufu wako. Jumuiya kuna michango ni kweli. Kama unauwezo changia. Kama huna basi. Kama unauwezo ila hutaki kuchanga basi we ni sawa na mtu anaetaka kuchart bila bundle
Sent using Jamii Forums mobile app
Vichekesho! Kwani wewe unaptka kuoa unaoa kazi au fani ya mtu au shida yako ni Mwanamke! Oa mwanamke umtakaye achana na kazi. Halafu by the way maisha hayana kanuni. Unakuta ati mtoa thread mwenyewe hajatajirika na ubongo wake umelala lakini anadiriki kukosoa wengine
Sent using Jamii Forums...
Una mke? Kama unae sawa! Dunia inavioja! Unakuta hata anemchepusha mke wa mtu na yeye mke wake au demu wake anachepushwa! Akipewa huyo mwanamke nayeye anaweza t. ombewa na wengine!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni fikra zako lakini unaandika kama mtu aliepewa dhamana ya kuwa msemaji wa Watanzania! Ukijani unakusumbua! Mpaka utakapotoa hiyo Miwani ulovaa ndo utakuwa na uwezo wa kueleweka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.