Recent content by Seleman Mrisho

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nguo zako ambazo huzivai tena aidha kwa kuchakaa au kuwa ndogo huwa unazifanyaje?

    Kuna ile nguo ukivaa lazima tukio flani litokee ndg yangu hiyo iweke makumbusho😀
  2. S

    JamiiForums Tanzania COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

    Ndiyo Nipo hapahapa tangu saa name Usiku mpaka Sasa Ila ndiyo hivyo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Why watu wenye mafanikio wamesoma kayumba? Samatta, Diamond, Doctors, Engineers, President etc

    Mambo ya elimu bwana na maisha in vitu viwili tofauti kikubwa uhai tu Ila Mungu anajua
  4. S

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Hadaa ndiyo zinaendesha ulimwengu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya Kisiasa: Ridhiwan Kikwete anapumulia mashine Jimboni

    Siasa ni upepo hautabiliki
  6. S

    JamiiForums Tanzania Here are some of the Reasons Why Women lives longer than Men

    Wanawake hawabebi mambo kwa uzito kama wanaume ila they are very sensitive
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Ukimsikiliza Mzee magufuli lazima umushukuru Mungu kutupa yeye anatupa ujasiri kwakweli,Mungu ambariki sana.
  8. S

    JamiiForums Tanzania A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

    MTU mweusi uwezo anao japo vikwazo anavyopitia in vigumu sana ila we run the worldwide hata wao wanajua ndiyo sababu wanajitahidi kutuletea mentality za unyonge Wa kifikra ila bahati bado IPO kwetu, changamoto in mifumo ya siasa na elimu ya ya MTU mweusi mwenyewe
  9. S

    JamiiForums Tanzania A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

    Tatizo in kua waafrika bado hatuna ukweli juu yetu kunawezekana maingiliano baina ya jamii hizi yalipelekea upotevu Wa taarifa sahihi ju yetu, lakini biashara hizi za utumwa. Zilianzia misri huko ambapo no afrika,,
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimuambie mke wangu kama nina mtoto nje ya ndoa?

    Aisee hiyoo no changamoto ambayo wanaume wengi wanaiipitia, lakini tafuta mazingira uanze kumpa hizo habari kama story ukiona response take in negative kausha ujipange kumlea mwanao lakini akijua atakamia vizuri sana kipato chako na utashindwa kumsaidia mwanao
  11. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mimi hata sipajui pa kulike
Back
Top Bottom