Kwa kawaida every data on server zinakuwa backup otherwise kwa zile offline system ndio zinakuwa zinashida kidogo but i hope utakuwa umepoteza currently data ila old watakuwa wamebackup
Afadhari wewe unatufundisha ila kuna watu wapo kupongeza kila kitu Tundulisu si ndio aliandika majina ta mafisadi na hatuelewi yapo wap leo asituchoshe
Duuu sasa kutomwambia ndio chanzo cha yeye kujiona fundi wewe unalia kumbe hata unamuigizia miss chagga you have to teach me really sijuii chochote nisije tia aibu ai watu wakawa wananisaidia mke wangu
Mimi huwa sielewi haya mambo kwani kuna mtu alisema kuwa dollar ikipanda kuwa kubwa inaweza kutuletea uchumi kupanda pia alafu pili shilingi ikipanda pia uchumi unaweza kushuka sasa mtaalamu anieleweshe ili nisije chekwa akanipa mfano wa china na korea ndio nchi zenye hela ambayo haina thamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.