wauza Ngada Mwafaa
Senior Member
- Mar 25, 2017
- 158
- 224
Kama wahenga wasemavyo, mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine. Sasa yatupasa kuanza kujadili chama cha kuamini nje ya CCM.
Mpaka sasa hamna mpinzani yoyote anayejaribu kutamka na kukemea ufisadi, rushwa na wauza madawa ya kulevya.
Kwa kifupi Chadema ndio imekuwa chaka la waovu wote nchini, ukiwa mkwepa kodi, mla rushwa, mchawi, jambazi, mnalalamikaji, na muuza madawa ya kulevya we kimbilia chadema tu, utapokewa na kusafishwa kwa kila aina ya sabuni!
Wapinzani wamegeuka ni watu wa kulalamika na kutoa majungu masaa 24hrs. Hamna mpinzani yoyote anayezungumzia matatizo ya watanzania, kazi ya upinzani siku hizi ni kulia lia tu.
Je, upinzani ambao ni watu wa kulia lia tu na kulalamika wanafaa kweli kupewa nchi?