Recent content by selebinde

  1. selebinde

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Pole mkuu, mapambano lazima yaendelee check taasisi nyingine yenye nafasi uruke nayo chap hakuna muda wa kukata tamaa wala kuwapumzisha utumishi.
  2. selebinde

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hivi ni kwanini dirisha la etransfer tu ndio hua linaleta wenge na sio mengine?
  3. selebinde

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Daah ni huzuni sana mkuu December parefu sana aisee. Utumishi hawaeleweki yaani mi wameshanichosha.
  4. selebinde

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ndio nilianza na vacancy, lipo utumishi tangu 27/6/26
  5. selebinde

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Duuh mbona kasheshe hii, muda wa kuteseka bado ni mrefu sana aisee. Watesi wangu wataniua mpaka kibali kitoke yee 😁
  6. selebinde

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hakuna subra ngumu kama kusubiria majibu ya uhamisho kutoka utumishi. Unaweza kuacha kazi kabla ya kibali hakijatoka 🤣
  7. selebinde

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Jamaa utakua na Intel za ndani mi nakuchukulia serious. Kwahio utaratibu wao wanatoa vibali kila mwisho wa mwezi? Na je wanavitoa kwa utaratibu upi, kuna idadi maalum kila mwezi?
  8. selebinde

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kule kuna magroup ya watumishi wanaosubiri uhamisho kasearch utaona
  9. selebinde

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kwa hali hii wenge lazima mkuu. Vinatoka mpaka weekend, nimeona FB huko watu wamepata Leo.
  10. selebinde

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    😀😀😀 Mkuu kila mtu anachanganyikiwa kutokana na hali yake aliyonayo 😄. Huenda hali yetu ikawa ngumu zaidi kuliko yako kwa sababu; 1. Majibu hayatabiriki unaweza kupata au kukosa kibali. 2. Tumesubiri kwa muda mrefu zaidi ya miezi miwili, vibali vimeanza kutolewa we unarukwa unasikia tu wenzako...
  11. selebinde

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Daah watu na bahati zao. Kwani hawa utumishi utaratibu wao upoje? Mwanzo nilijua first in first out ila ni zigzag hivi kuna watu wamechelewa kuomba na wanapata mapema kuliko maombi ya wengine yaliofika mapema ehee.
  12. selebinde

    JamiiForums Tanzania Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Na usirudi ishia huko huko
  13. selebinde

    JamiiForums Tanzania Kauli ya ndoa ni uvumilivu imepitwa na wakati

    We jamaa hio avatar umeeka hapo ni yako? we ndio wakutoa ushauri huu unaochochea talaka? jee unajua kama talaka ni chukizo mbele ya Allah?.. Afu umeweka avatar nzuri kweli maneno ya Allah "Hakika ya Allah yuko pamoja na wanaosubiri" Badala uwashaurii subra na watafute njia za kuweza kutatua...
  14. selebinde

    JamiiForums Tanzania "Baby sikupi hadi tukapime.."

    False positive results. Cross reactivity io inaweza kusababishwa na high sensitivity ya kifaa kilichotumika kwenye kipimo, ambapo kinaweza kureact na schistomiasis or trypanosomiasis. Na mara nyingi reaction hua inatokea kutokana na kipimo cha step ya 1 kinachotumika kwenye Nationa Algorithm e.g...
Back
Top Bottom