Recent content by Sela Son

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huyu mwanajeshi amepata wapi hizi fedha za kuinunua Namanga Makangira?

    Dah Bei nzuri sana.sasa 20k ndo imepanda kwani mlikiwa mnanunua shingapi?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huyu mwanajeshi amepata wapi hizi fedha za kuinunua Namanga Makangira?

    Ni wapi huko wanauza sementi 20000 mwezi huu.Nataka Dodoma nimekuta simenti 24500 Dangote, 23500 mchina na ndo Bei rahisi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Je nitalipwa fidia kwenye eneo langu ambalo serikali imekusudia kupitisha Barbara na Mimi nataka kujenga?

    No nitakutafutia ka chupa kakubwa ka John Walker.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Je nitalipwa fidia kwenye eneo langu ambalo serikali imekusudia kupitisha Barbara na Mimi nataka kujenga?

    Hellow mambo vipi wadau wangu wa JF.Bila shaka mu wazima wa afya.Ama baada ya salam niseme tu kwamba nimewakumbuka Ile noma.Nimemiss kuona sura zenu sijui kwanini mnaficha tambulisho zenu. Leo wanaJf nimekuja na hili.Hapo zamani nilinunua kiwanja huko Dodoma Squaremita 453 .Nikaondoka muda...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lema ajitetea amuangushia jumba bovu Makamu mwenyekiti

    Kuna mshikaji wangu mwaka juzi aliwahi kuniambia kwamba Heche ni mtu wa karibu mno na system.Nikambishia ila akanambia kama uzima upo hili utalishuhudia. Ndo mpaka Leo naendelea Kuwait. Akanambia pia JohnNyika ni mtu wa huko pia.Sijui ka ni kweli .Naendelea kusubiri. Ila nilimuuliza ikiwa ni...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

    Ha ha pole sana mkuu.40 k ya Kitanzania inatosha kumleta demu ghetto.Ukishskula achana nae chap.Vikao huhudhurii kabisa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka Trump kwenda kwa Putin na Zelensky kutaka vita viishe. Urusi ingekua inazidiwa wangeenda Moscow?

    Ukipata muda fuatilia kuhusu Wamarekani hawa kadhaa walioshiriki vita upande wa Russia. Russell Bentley ("Texas"): Wilmer Puello-Mota ("Boston"): Patrick Lancaster: Derek Bales ("Grey Lynx"):
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka Trump kwenda kwa Putin na Zelensky kutaka vita viishe. Urusi ingekua inazidiwa wangeenda Moscow?

    We unaona ni kazi rahisi kupigana na nchi inayofadhiliwa na mataifa zaidi ya 70 duniani? Unaona ni rahisi kuwa nchi iliyokumbwa na VIKWAZO vingi zaidi vya kiuchumi kuliko zote duniani toka dunia iumbwe na Bado Wana survive?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton na Maria Sarungi mnapaswa mjitathimini la sivyo mtapoteza credibility hivi karibuni

    Kwani Kuna mtu Huwa anawaamini hao malaya wa Marekani,Ulaya na Kenya? Majitu haya ni maongo sijawahi kuona. Juzi yakatwambia Mnyiramba ameuma shuka dakika mbili Mzee huyu hapa. Uongo kila day. Siku nyingine huna taarifa usipost.
Back
Top Bottom