Recent content by sekuture

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata mkopo

    Habarin za mida hii, naomba kupata mtu/watu/taasisi wanaojihusisha na kutoa mikopo kwa riba nafuu, nipo Dar es salaam Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nipo Dar, Nahitaji mbegu nzuri ya sungura

    Ninasubiria majibu mana na mim nahitaji bosi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Samsung S5 & LG G3

    Specification za lg zipoje?
  4. S

    JamiiForums Tanzania LG g3 used inauzwa, bei 150000. Ni clown.

    Weka picha
  5. S

    JamiiForums Tanzania Pata Simu kali ya kisasa kwa bei pouwa kabsa

    Phantom 6 mia ngap?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kibanda cha Mpesa kwa bei chee

    Mkuu embu niambie kufanya hiyo biashara mtaji wake kima cha chini ni sh ngap?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kujua kama upo kwenye mahusiano mabaya (Toxic relation)

    Ukiona huvyo jua haikuhusu wew
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    Mkuu samahani naomba kujua bei ya sungura
  9. S

    JamiiForums Tanzania Namkumbuka sana...

    Ndugu nimefanya hvyo na siyo mara moja hadi nikajikuta natumia mda mwingi na gharama kwaajili yake na anaishia kunishukuru tuu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Namkumbuka sana...

    Nashukur ndugu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Namkumbuka sana...

    Poleni na majukum ya siku nzima.... Kuna mdada nimekaa nae kwenye mahusiano kw zaid ya miaka 3 na kwa sasa tumeacha hata mawasiliano hakunaga ila cha ajabu ninamkumbuka sana hata nikiwa kwenye mahusiano mengne bado namkumbuka hata nikitumiwa msg nzuri na mpenzi mpya nahisi kanitumia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kanitafutia kazi sasa nimekuwa mtumwa wa ngono

    Achana na hiyo kazi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa kuchepuka wanawake

    Kweli wew jangala
Back
Top Bottom