Ugali sawa, ila msukuma na chapati wapi na wapi?! Hapo kwenye ugali pamepungua mtindi (maziwa ya mgando) ili kuufanya uonekane ni mlo wa kisukuma hasa.
Bila Tanzania Kagame asingefika popote!. Anachofanya Kagame kwa sasa dhidi ya Tanzania ni kile wanachosema kwa lugha ya kinyarwanda ( pia Kirundi,kiha,kihangaza na kishubi ) ya kwamba : " UMUYOVU UMUVURA AMASO,BUKEYE AKAYAKUKANURIRA!".
au kwa kiswahili " shukrani za punda ni mateke".
Kama katiba imewapa uhuru wa kuandamna sasa inakuwaje wanauawa tena?! Point ya mleta uzi ipo hapo ya kwamba tunaweza kuwa na katiba mpya na bado matatizo yakabaki palepale kama ambavyo hiyo katiba ya Kenya imewapa wananchi uhuru wa kukusanyika na kuandamana na bado wakiandamana wanauawa kwa...
Inasemekana ni pamoja na utafunaji wa mirungi na kuna nyingine mpya wanatafuna siku hizi inaitwa mkokaa!
Majani hayo ya kulevya ambayo kwenye nchi yao siyo haramu kama somalia na Yemen ndio yanawavuruga akili!
Shia ni kafiri moja kwa moja.
Khilafu ipo kwa wale waswahili walioingia kwenye ushia kutafuta misaada hali ya kuwa hawajui chochote kuhusu itikadi chafu za kishia.
Kwa mtu aliyesoma itikadi za kishia nje ndani kisha akaendelea kuwa nao hapana shaka juu ya ukafiri wake.
Kobazi?! Miaka ya 1990 mwanzoni tumesoma na wanafunzi wanakuja shuleni hawana hata lapa la kuvaa mguuni yaani wanatembea peku kwenye shule ya msingi ya kata ,wewe unaulizia kobazi zama za mjerumani?! Miaka hiyo ukipata kobazi si utaitwa mtoto wa kishua ?!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.