Recent content by sekoja

  1. S

    Hela za malipo ya Okwi na hela za Escrow zimetokana na shughuli haramu mpaka tuseme zimetakatishwa?

    Endelea hivyo hivyo, naona una bachelor ya Law ndo unajiona msomi... Mtu mwenyewe umesoma maigizo tu.... Nina bachelor ya Medicine DOCTOR na MMD.. PUMBAVU SANA WEWE NA UWE NA ADABU And I did my Masters at ROYAL COLLEGE LONDON SASA MPUMBAVU WEWE NA BACHELOR YAKO HIYO YA UDSM UNAJIONA MSOMI.... NA...
  2. S

    Hela za malipo ya Okwi na hela za Escrow zimetokana na shughuli haramu mpaka tuseme zimetakatishwa?

    Nimeamini waTZ tuna Chicken IQ, Yaani suala la ESCROW lilipigiwa kelele na Nchi ikawa katika Mhemko leo hii wamekamatwa mnaleta siasa Tena Duuuuhhh Noumer sana... Nimeelewa kwa nini Jamaa hasikilizi mtu
  3. S

    Ukioa Mtoto Mdogo. Nawe Kadri siku zinavyoenda unaonekana Kijana

    Mengi bwana, huyo mtoto bado damu ya moto kabisa ipo shida kwenye ile sekta
  4. S

    Wanafunzi masnitch wapewa onyo ST. Joseph

    Hawa Vijana Wapumbavu sana..... Kwanza Inabidi wakamatwe Immediately. Ngoja tuwafuatilie, yaani Unang'ang'ania Msikiti ulienda Kuswali hapo. Pumbavu sana. Tena Pumbavu sana. Upumbavu wa Njano Kabisa. SHENZI SANA MASHETANI. HIZI DINI ZENYEWE ZIMELETWA NA WATU HALAFU MNATAKA KULETA UJINGA HAPA...
  5. S

    Kwa wale mabinti pitieni hapa

    Huhuhuhu powlee sana, hayo makoti ni ya kawaida sema ukiwa nje unaona kama vile daaahh ila kazi ndo noumer muda wote akili iwe powa
  6. S

    Zijue faida 5 za kulala uchi (naked)

    Kulala uchi hata kama umeowa kwa mwAnaime Noo
  7. S

    Kwa wale mabinti pitieni hapa

    Aisee upo vizuri sana, halafu mi mwenyewe msukuma kama wewe, vile vile ni doctor we nitafute tu niwe mumeo najua kila kitu.... Coz naujua mwili wa binadamu ulivyo.... Dushe siwezi kuisifia itakuwa kazi yako hiyo
  8. S

    Natafuta laptop ya 250,000/=

    Namba yangu 0759534596 nipigie au watsap
  9. S

    Natafuta laptop ya 250,000/=

    Nikipata Acer aspire e1-532
  10. S

    Natafuta laptop ya 250,000/=

    Wadau mi nataka laptop iwe Acer lakini kwa 250,000/=
  11. S

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Mkuu ngoja nikwambie kitu, hawa wanawake ni shida sana. Huwa nahisi kwenye Ubongo wao huwa kuna Ushenzi. Cha kukushauri itatokea siku utapata tatizo atakuacha utaja teseka sana na ndugu zako lazima wakae mbali kidogo na wewe coz lazima watakuwa wanadhani unamsikiliza mkeo. Sasa chukua hatua...
  12. S

    Rais Magufuli chukua hatua kwa Makonda

    Nchi za watu wasomi, sasa hivi wananchi wa dar es salaam tungeandama Makonda akatoka. Lakini saivi wamebinya Uhuru wote..... YAANI MAKONDA ANAKUWA NA POWER KIASI HIKI..... ALIANZA VIZURI KWENYE MADAWA YA KULEVYA LAKINI KAMA ANGEKUWA MZALENDO ANGEJUA AMEIFANYIA MAKOSA JAMHURI ANGEJIUZULU LAKINI...
  13. S

    Siku za Hussein Bashe ndani ya CCM zinahesabika!

    Huyu ni UVCCM kabisa, huwa wana mawazo ya kijinga jinga, nipo CCM yaani hawa Vijana ukionekana unashauri haki wanaanzishs fitina. Macho yote yamewatoka kusubiri KUTEULIWA kuwa DED, DC na RC. Waoneeni huruma watz. Tz siyo ya CCM, BALI NI YA WATZ.... MImi nipo CCM LAKINI UJINGA WA HAWA WATU HUWA...
  14. S

    Kutoweshwa kwa Ben Saanane kumehusishwa na Idara ya Usalama wa Taifa, Bunge lichunguze jambo hili

    UVCCM, ina vijana ambao hawana akili kabisa, mimi nilikuwa ccm lakini kwa akili za hao nilovyowaona ni sifuri kabisa. Yaani they are there kusifia tu, ukitaka kusema jamani hapa tufanye hivi. Utasikia huyu wakala wa chadema. Yaani ni sifuri kabisa
  15. S

    Protesters block roads at Namanga over repatriation

    Huwa hatishwi huyu baba.... Na mkianza kuwaonea watz atakuja kuwachukua mara moja
Back
Top Bottom