Kwa kinachoendelea kwa sasa HAMAS wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuionesha Dunia kwamba, haki hata ukiibana kiasi gani itafika wakati itashinda.
Israel inaungwa mkono na Nchi zote zenye nguvu Duniani, wanazo silaha zote nzito na za kisasa na rasilimali nyingine muhimu kama watu fedha na...
Msigwa alisema na akarudia mara mbili mbili. Simba ikishinda, Simba ikishinda, kila goli mama atatoa 10M, zingatia neno ikishinda! Sasa labda tuanzie hapo, Simba imeshinda!!?[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa zetu hatari sana, wanatoa gari ya jeshi kuja kuwapokea vijana lakini wanatozwa nauli kama wanakwenda mkoani. KM 16 wamelipishwa nauli 5,000 na fedha ya dharura ya safari 5,000 jumla 10000@. Nimepata taarifa nikashangaa sana.
Tatizo lako ni kwamba unadandia taaluma za watu. Ungeijua epidemiolojia ya Maburg na Ebola wala usingeendeleza hii hoja. Jambo kama hulijui usilikomalie kwa hoja za hisia, ulizia kwa wanaofahamu wakupe ufafanuzi ndg.
Hata hao Plasmodium wako tofauti. Ukishikwa na malaria iliyyosababishwa na Plasmodium malariae, vivax au falsparium unakutana na mziki tofauti kabisa. Mziki wa Ebola ni moto wa kuotea mbali, hawa Maburgs wana tabia zinazofanana kwa mbali na ebola lakini hawatishi. Japo wakikupata bila usaidizi...
Mwenyewe unajiona umeandiiika hadi bhaas. Yaani Serikali ifiche ugonjwa kwa maslahi ya nani!? Hivi Ebola unaijua unaisikia, tema mate chini usiombe hilo gonjwa likaitokea katika jamii yetu.
Ugonjwa ulioripotiwa Kagera ni wa Maburg na ni wa virusi wa jamii ile ile ya Ebola lakini wa ukoo...
Hapa naona unachanganya mambo. Kichwa cha habari umezungumzia Mama Ntilie, lakini ulivyoanza utangulizi umehamia kwenye migahawa na umezungumzia uchafu wa wapishi kwa ujumla bila kusema ni wachafu kwa vigezo gani.
Kabla hata hujafafanua kuhusu uchafu umerukia kwenye tabia ya kuwa na watoto...
Kwa msimamo huo, wewe sio mwana Demokrasia. Mwanademokrasia anapaswa kuwa na ngozi ngumu, yaani kuwa tayari kusikia na kujadili suala /hoja lolote/yoyote mradi tu halivunji/haivunji sheria.
Kulaani au kuchukizwa na swali dogo namna hiyo ni kuonesha ni jinsi gani wewe na wengine wanaojinasibu...
Uwezo wake unapimwa na kazi anazozifanya. Kazi zote alizofanya kwenye taaluma yake ya uandishi wa habari na utangazaji ameifanya kwa weledi mkubwa hadi ameweza kuwavutia wasikilizaji na watazamaji wake ndani na nje ya nchi. Na kwa kuthibitisha hilo ni namna ambavyo amekuwa akipewa kazi...
Obama hakuwahi kufanya Official visit Kenya mpaka amestaafu. Tanzanania tulipata bahati ya kutembelewa na wote, kuanzia Bill Clinton, George W. Bush na Obama wote wakiwa madarakani na haturingi. Kenya Obama alikuja several times lakini kabla na baada ya kustaafu. Hili la Biden tusubirie aje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.