Recent content by Sekenyula

  1. S

    Fatma Karume: Dkt. Slaa akifia Mahabusu Watu wataanza kumlaumu Rais badala ya DPP aliyezuia HAKI yake ya Dhamana!

    Dkt Slaa kwa umri wake, ingelifaa zaidi angelichagua kunyamaza.
  2. S

    Safari ya Vyama vya Upinzani, bado ni ndefu tena ni ndefu sana

    Matokea ya uchaguzi wa serikali za mitaa yametoa taswira ya namna vyama vya upinzani nchini vitaendelea kuwa wasindikizaji. Vyama hivyo vitaendelea kuisindikiza CCM na kukiacha kiking'ara kuendelea kushika dola. Marehemu Lowassa aliwahi kusema, " tukishindwa safari hii tutahitaji miaka 30...
  3. S

    Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

    Gentamycine; alazwe mahali pema peponi Sophia Yamola. Msama mjanja mjanja aliye shirikiana na wajanja wajanja wa mjini kufanya ujanja ujanja kumiliki viwanja. Arobaini zake ziketimu.
  4. S

    CHADEMA yafanya Maandamano ya Amani Dodoma yakiongozwa na Tundu Lissu

    Maandamano haya yanazidi kuivua nguo Chadema. Yanaonesha dhahiri jinsi watanzania walivyo kipuuza chama hicho. Mwisho wa Chadema umefika.
  5. S

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Aliyekufa kafa...acha aisubiri hukumu itakayotokana na matendo yake aliyoyatenda akiwa hai. Ya nini kutumia rasilimali za Taifa kuchunguza kifo cha mtu ambaye historia ya afya yake ilishaonesha kuwa siku zake zisingelikuwa nyingi.
  6. S

    Nini kitakachowafanya CCM washinde 2025?

    Mema mengi na makubwa ya kimaendeleo anayoyafanya Rais Samia, yanaihakikishia CCM ushindi wa asilimia 100, mwaka 2025.
  7. S

    Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

    Uongo una maisha mafupi sana. Ukweli hata uufukie vipi; hujitokeza. Ni suala la muda tu yote tulodanganywa yatadhihirika.
  8. S

    Asilimia 100 hujifichia CCM kutenda maovu na haramu

    Tunaomjua Rostam, tunajua kuwa alitajirika kabla hajaijua/hajajiunga CCM .
  9. S

    Siku niliyokutana na mtoto wa Kinyarwanda

    Kwa kuwa alivaa mpira, hakupiga. Kunyanza huwezi piga na mpira.
  10. S

    PreGE2025 Freeman Mbowe arejea Jimboni Hai, Umati wajitokeza Bomang'ombe kumsikiliza

    Kama hiyo ndiyo idadi ya watu waliohudhuria mkutano wa Mbowe, halafu ni kwao Hai kwa wamachame wenzake ambako pia aliwahi kuhudumu kama mbunge; basi Mbowe kwisha habari yake. Akazanie tubiashara twake huenda akazeeka akiwa na uhakika wa kupata chai. Siasa kwake kwa sasa...imemshinda.
  11. S

    Asilimia 100 hujifichia CCM kutenda maovu na haramu

    Kiongozi gani wa CCM alisema hayo? Lini na wapi? Acha kupotosha umma kwa mambo ya kutunga.
  12. S

    PreGE2025 Mnyika: Mapambano yamewezesha Faye kushinda Uchaguzi wa Rais Senegal, November 2023 nilikuwa Senegal kusaidia Harakati za Upinzani!

    Mtaendelea kufurahia na kushangilia ushindi wa wengine. Ninyi hapa nchini kushinda; labda baada ya miaka 100 ijayo. Watanzania wana imani kubwa na CCM. Na kwa sasa wana imani kubwa sana na Rais Samia Suluhu Hassan. Mama yetu kipenzi cha wote.
  13. S

    Jinsi awamu ya 5 ilivyoua ajira za Vijana wazawa

    Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo. Mama huyu hapa...fursa kibao na uhuru umetamalaki.
  14. S

    Kadogosa: Asilimia 70 ya Ujenzi wa SGR umefanywa na awamu ya 6

    Mungu mbariki Rais Samia Suluhu Hassan.
Back
Top Bottom