ni miaka zaidi ya 50 sasa toka nchi yetu ipate uhuru ila maswali mengi tukijiuliza je ni kweli maendeleo tuliyonayo yanaendana na kipindi chetu cha tulichopata uhuru na utajiri wa asilimali tulizonazo katika taifa letu.
je nikweli kuwa hakuna maendeleo yaliyofanyika chini ya chama cha...
Ni miaka zaidi ya 50 sasa toka nchi yetu ipate uhuru ila maswali mengi tukijiuliza, Je! Ni kweli maendeleo tuliyonayo yanaendana na kipindi chetu cha tulichopata uhuru na utajiri wa asilimali tulizonazo katika taifa letu.
Je! Ni kweli kuwa hakuna maendeleo yaliyofanyika chini ya chama...
Taarifa za kuaminika kutoka ndani vikao vinavyoendelea huko Zanzibar zinasema kuna Uwezekano wa Mbunge wa Monduli mh, Edward Lowassa kupitishwa na kuwa mgombea wa CCM mapema mwezi mei mwaka huu , taarifa hizi ambazo zimevujishwa na kiongozi mmoja na kigogo mwandamizi wa CCM ambaye yupo huko...
Kumpa Pinda Nchi ni sawa na kumnunua wa Malindo Mbwa asiyekuwa na Meno ..... Alishasema amechoka sasa anataka nini katika Nchi yetu
... Pinda amepinda awezi kuongoza ....
........Pinda ni Dhaifu sana awezi kuongoza hii Nchi cause ana mchango wake kuifikisha hii Nchi imepinda kwasababu yake yeye...
I would like to share why I think Lowassa is a good leader. We all know that despite our country having enormous physical, natural and human resources, Tanzania is still one of the least developed countries (see UN List of Least Developed Countries). Here at home, you don't really need to read...
Ukiwa na asset za kwako 100 alafu jirani yako akachukua aseti 20 bure kabisa na hutazamii kurudisha leo wala kesho hyo ni hasara kubwa sana so CCM ni looser kwenye serikali za mitaaa
Lowassa kamwe hawezi shiriki upuuzi kama huu ili afaidi nn kama angekuwa ametoa hizo pesa bilion 321 mfukoni kwake tungesema kwakuwa walioziiba pesa tuna wajua tunachotajaka ni pesa tu.
MTANZANIA MZALENDO NA SAUTI YETU
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Barnard Membe anatuhumiwa kufanya kampeni nzito kwa wabunge waishambulie na kuiangusha serikali bungeni kupitia saakata la escrow. Mpango huu unaendeshwa kwa usiri na umakini wa hali ya juu huku kachero huyo...
Nimuda sasa watanzania na ulimwengu mzima ukijiuliza nani anayehusika na hali hii ya sitofahamu ya IPTL na wengi wetu tukiwa na hamu kubwa ya kutaka kujua nani wa kufungwa kengere kwa hili.ila wasi wasi wa watanzania tuliowengi ni kwamba tusije pigiwa ngoma tusiyoijua mapingo yake kisha...
Baada ya kuleta ule uchambuzi wa Timu za wagombea, kazi yangu ya pili ilikuwa ni kutembea mitaani kwa wananchi na kudadisi nini hasa wanachotaka na kutarajia katika uchaguzi mkuu wa 2015. Kitu kikubwa nilichojifunza ni kwamba watanzania ni wavumilivu sana na ni wachapakazi sana. La pili ni hili...
HUYU NDIYE ASKARI HALISI WA MWAVULI " hayo ni maneno ya Rais Mkapa akiweka jike la msingi la mradi wa maji ziwa Victoria, kwa waziri- wa maji wakati huo Edward Lowassa. Mhariri mtendaji wa gazeti la Jamuhuri Deudatus Balile alikuwa miongoni mwa waandishi wa habari wa habari waliyoomgozana na Mh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.