Recent content by Sefu jafary

  1. Sefu jafary

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanajeshi aliyeokota pesa na kuzirudisha alipwa Mara mbili na amepandishwa cheo kwa ngazo mbili

    Watu kama umar ni wachache sana duniani.
  2. Sefu jafary

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally achana na lugha za namna hiyo, hazijengi

    Bashiru nilikuwa simfaham huko nyuma,lakini sasa hivi naona kavimba kichwa anawapanda kichwani hadi wazee wa chama.
  3. Sefu jafary

    JamiiForums Tanzania Ninaumwa wana JF wezangu maombi yenu tafadhali nisije kata moto

    Get well soon.
  4. Sefu jafary

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    lengo langu ni ku share fursa but you think in opposite. Wewe hauhitaji ndo maana, wanaoitaji washapiga cm tangu jana so unajisumbua.
  5. Sefu jafary

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Ni wengi ila waliopo serious na biashara ni wachache ambao hawapo serious kama wewe ndo wengi.
  6. Sefu jafary

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Refer to the heading,I need serious people if you are not serious stay away.
  7. Sefu jafary

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Ushaambiwa hiliki inapatikana kiongozi,kikubwa ni kufika eneo la tukio.
  8. Sefu jafary

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Soma thread yote mkuu,shida yenu mnasoma jujuu ndo maana hamuelewi vitu vidogo. Kitu kingine mimi sina chama hapa bongo.
  9. Sefu jafary

    JamiiForums Tanzania Kwanini kazi ya UALIMU hupelekea mambo haya kwa walimu?

    Jamaa anatudhalilisha sana walimu,iv bila mwalimu huyo mama yako angewezaje kupata udaktari au Baba yako angeweze kwenda uasikari.
  10. Sefu jafary

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu,wale wateja wa hiliki napenda kuwaambia iliki ipo ya kutosha na mwezi 8 mwaka huu itakuwa tayari kwa kuuzwa. Hivyo basi kama unahitaji mzigo weka order mapema sababu wanao itaji mzigo niwengi.Kama unataka mzigo njoo ukiwa umejipanga utapokelewa bila shida...
  11. Sefu jafary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho

    Una maanisha mapenzi pesa now days.
  12. Sefu jafary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho

    Apo utakuwa umempiga chura teke mkuu
  13. Sefu jafary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiwango cha roho mbaya na wivu kimeongezeka sana siku hizi

    Salama=asilimia
  14. Sefu jafary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho

    Kwa mfano mimi kazi yangu naingiza 7000 per day nimdanganye naingiza sh.ngpi mkuu?
  15. Sefu jafary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho

    Nilikuwa nasikia watu wakisema "bora ukosee maisha kuliko kuoa" hapa ndo napata picha safi na kugundua wale vijana wazamani walio kuwa wanatafutiwa wake na wazee wao hawa hawakuwa wajinga.
Back
Top Bottom