Recent content by Securelens

  1. Securelens

    Askofu Mwamakula: Polepole ametahadharisha tusipokuwa makini, Serikali inaweza 'kutekwa nyara' na kubaki kama 'mwanasesere'

    Huyu anayejiita askofu anapitisha hoja yake kwa mgongo wa Polepole, Anajua yeye watanzania wameshaamua kumpuuza. Hatari sana
  2. Securelens

    Mwanza: Wana-CHADEMA 19 wafikishwa Mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu Kanisani

    Kisheria makosa yote ya jinai, mshitaki ni Jamhuri. Hata ukipigwa anayeshtaki ni Jamhuri, wewe unakuwa tu shahidi wa Jamhuri.
  3. Securelens

    CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    mnasumbua waandishi wa habari na hakuna cha maana mnachosema zaidi ya kulialia na kutoa puvu kutaka gaidi Mbowe aachiwe kinyume na sheria. Sijawahi kuona popote magazeti yanaandika uongo wa Mnyika baada ya Press conference. Hivi hamjiulizi ni kwa nini?
  4. Securelens

    Rais Hussein Mwinyi: Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa Corona

    Ukiisikiliza clip aliyosema na uliyoandika wewe ni vitu viwili tofauti. Hakuna mahali amesema tahadhari za lazima sasa zichukuliwe. Acha upotoshaji
  5. Securelens

    Msimamo wa Tanzania kuhusu Korona uliotolewa katika kikao cha Umoja wa Afrika AU ni ubabaishaji

    You are controdicting yourself. Hivi miradi ya SGR , Julius Nyerere Hydro power, elimu bure kwa watoto wa kitanzania, maboresho ya huduma za afya, ujenzi wa miundo mbinu ya barabara, umeme na miradi mingine mingi unayoijua siyo miradi ya matokeo ya muda mrefu.? Napata shida sana kukuelewa.
  6. Securelens

    Msigwa “awazodoa” wanaodai ndege haziji Tanzania

    Usiwe mbishi hata kwa vitu vinavyoonekana. Nenda airport ya JNI, KIA na Zanzibar ukajionee mwenyewe
  7. Securelens

    Msigwa “awazodoa” wanaodai ndege haziji Tanzania

    Ni kweli. Wazungu wamejaa Tanzania bara na Zanzibar. JPM Oyee
  8. Securelens

    The full list of winners of African Leadership Magazine (ALM) Persons of the Year 2020. Hongera sana Rais Dkt. John Magufuli

    Hongera sana kwa Mheshimiwa Rais Magufuli. Afrika yote inakujua wewe ni jembe na kiongozi bora
  9. Securelens

    African Person of the Year – The opposition – bloodied, not bowed,Lissu & Bobi Wine

    Kibaraka Lissu hana umaarufu wowote siyo tu nje, Bali hats Tanzania.
  10. Securelens

    Baada ya ACT-Wazalendo kujiunga katika SUK huko Zanzibar, CHADEMA kinakwenda kuwa Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar

    Yaani wewe hujui kabisa uchambuzi wa kisiasa lakini hutaki kuacha. Unaeleza vitu visivyo na uhusiano. Sijui ulisoma shule gani. Umeeleza kana kwanba ndiyo mara ya kwanza Maalim Seif anajiunga na serikali. Kana kwamba CHADEMA ina hata kiongozi wa Shina Zanzibar. Hujui siasa ,achana nayo. Nenda...
  11. Securelens

    TANAPA yapata tuzo ya ubora wa huduma

    Nafikiri alimaanisha balozi wetu nchini Ubelgiji
  12. Securelens

    Intelijensia ya CHADEMA imefia wapi hadi wanachama wao wanaapishwa Ubunge viongozi hawana taarifa?

    Intelijensia nzuri ni kuzuia kabla tukio halijafanyika na kuleta madhara. CHADEMA wao wanasubiri kuvua watu uanachama tena bila kuwasikiliza. Nahurumia wanaoshabikia CHADEMA
  13. Securelens

    Tundu Lissu kushiriki katika Forum ya International Democratic Union

    Habari za Lissu siyo habari tena. Amechuja siyo tu Tanzania lakini pia hata huko aliko. Watu wanakuchora sana unavyoendelea kuhangaika na kuleta habari zake humu. Jitambue na chukua hatua
  14. Securelens

    Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

    Hii clip ni ya zamani. Haina maana tena. Suala hili lilishakwisha na wala hakuna lolote lililobadilika kwenye uhusiano wetu na Umoja wa Ulaya. Tunaendelea kuwa na uhusiano mzuri sana.
Back
Top Bottom