mbandeon
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 1,540
- 639
Angalia huyu kiazi , uko Marekani unahisi ni peponi ... kumbe fala sana wee Jamaa Bonge la mshamba flani ivi, Kichwa naziUkimsoma kwa makini aliyeanzisha thread anareflect poor IQ za Watanzania waliowengi.
Imagine taarifa ya ubalozi wa Marekani wametowa taarifa hiyo kwa kiswahili na kingereza na bado jitu bogus hajui kilichoongelewa hapo ni kipi.
Makonda hatakiwi Marekani, na wote walioshiriki kuiba uchaguzi orodha yao ipo kamwe hawatakanyaga Marekani.
Serikali yoyote ya Marekani haicheki na waharibifu wa demokrasia Afrika.