Habari za wakati huku wanajamvi wa jamii forum. Natumai mu wazima wa AFYA teletele.
Napenda kutumia fursa hii kuwasilisha dukuduku langu kuhusu masuala ya USAJILI wa huduma mbalimbali katika kizazi hiki. Tunaishukuru serikali imeleta USAJILI kupitia NIDA na kupitia NIDA, watu wafanye USAJILI wa...
Mkuu mimi nakutia moyo. Naamini utafanikiwa. Zipo hizi ndoa changa, wanapendana lakini hawaelewi elewi mambo yanaendaje; hawa wanahitaji msaada wa ziada. Ni tofauti na zamani wanandoa walipewa semina na mwishowe wanafanya test kwa kujibu maswali.
Hakuna graduate wa kutambua tabia na hulka za mwanamke mkuu.
Unaweza ukafanya yote na juhudi zako zisidhaminiwe. Na pia anaweza kuwa na malengo yake binafsi (mke) makali sana kumzidi mume ndani na asijue (mume). Na atayaficha (malengo yake) kwa kuonesha utii, adabu na heshima kubwa.
Ishawahi...
Sijui kama tutarudi, jamii imepotoka sana. Enzi hizo vijiji vilikuwa na wanawake wa kuoa na wanaume waoaji kweli kweli. Wanaume waoaji wapo, ila tatizo ni movement
Kuna mikoa ya Njombe, Iringa Mbeya huko nina experience nako. Faida wanapata sana, wanaonunua mti moja kwa moja kwa mkulima na kuprocess mbao kwa saizi tofauti tofauti na kusafirisha mbao mpaka yalipo masoko kama Zambia, Makambako n.k.
Faida
-Mkulima hajui uhalisia wa faida utakayoipata, kwa...
Familia kama familia; paradiso ndogo, sehemu ya amani na makubaliano na waswahili walisema mchuma janga hula na wa kwao. Kwa vyovyote iwavyo mta'solve' na kusonga mbele kama familia ikiwa mmoja wenu amepotoka.
👆👆Nina experience na hilo
Lakini kinyume chake ni sehemu hatari sana ikiwa viongozi...
Mkuu nimekuelewa, hints zote zinanigusa maisha yangu since o'level. Nipo na jamaa since 2008 ndo kampan yangu, saivi kaoa namim nimeoa, akiwa na shida nambust nikiwa na shida ananibust, ni zaidi ya ndugu.
Kampan kubwa isio na msaada ni mzigo.
Maisha yanabadilika sana upande wa ndoa, kuna wakati mwanamme aliweza kuishi na wanawake kumi kwa wakati mmoja, na baadae mimi binafsi nilishuhudia dingi mmoja kajenga nyumba na anashare na wake zake wawili sebule moja, chakula dinner na lunch na chai asubuhi wanakula pamoja na amani imetawala...
Mambo ni mengi wakuu, chart 📈 ya kuchepuka inazidi kukweya viwango, movement ya kataa ndoa nayo haipo nyuma, ndoa ya kisheria imekuwa mzigo, 50/50 ni tatizo nowadays, Lakin ndoa ni taasisi muhimu kuianzisha japo si lazima.
LABDA HII STORI UTAPATA KITU UKIIPITIA, NAKUSIHI USIKATAE NDOA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.