Nafikiri kama ungejua sababu mada ingekuwa nzuri. Sababu kwa upande wa wafanyabiashara pia kuna tatizo, kwani ni mara ngap TRA wamefanya unyama huo?
Sina uelewa sana kuhusu utaratibu wa namna wanavyomshika mtu au vurugu za namna hyo.
Kwa upande wangu, mzee wangu alishawahi kupata shida kama...
Shida ni kuwa na mtazamo hasi katika kila kitu.... lakini hawa TRA mbona sio makatilii hvyo kama mnavyozungumzia.... mimi naona wapo sawa tuu... maana wanawasikiliza wafanyabiashara kama tulivyoona Lindi watendaji wanachukua hatua...
Kupinga kiwango cha kodi ipo kisheria na ni haki yangu.... kwani walioweka sheria unafikiri hawakujua?... kupinga kodi hakuna maana kwamba TRA wasumbufu au wanaLengo la kula pesa hapana..... ila kama ni kiwango ambacho afisa anaona kipo sawa na mimi naona kiwango hakipo sawa ndo mupinga kodi...
Ww ndo unasema sifanyi biashara... ila sijawah kuburuzwa na mtu na hakuna mtu ataniburuza kwa kulipa kiwango ambacho sijui msingi wake... kama ww ni muoga sawa.. mimi nafuatilia na najua haki zangu... nimepinga viwangi vya kodi kisheria si mara moja wala mara mbili ni mara kadhaa... napinga...
Ukweli kabisa... unalipa kodi ambayo hauielewi? Eti unakataa kodi kubwa na kukubali kodi ndogo huku hauelewi msingi wa kodi kisa ndogo ndo unaenda kulipa? Daah tuna shida kubwa sana.... unalipia Bank ambapo hauna uhakika kama kwl inaingia serikalini au mifukoni kwa watu kuna shida kubwa sana...
1. Hi guys... mimi napenda sana kufuatilia mambo badala ya kubaki kwenye kundi la walalamikaji kwakuwa mada imewekwa jamvini.... nimeingia kufwatilia sheria inasemaje? Ingawa mimi mwenyewe kama mfanyabiashara nimepata makadirio ya 150,000 nilimuomba mkadiriaji wa TRA anioneshe sheria inayonitaka...
Mimi naona yapo Mungu amekupa uwe na will nayo na mengine katian PIN mpk yeye mwenyewe kwa kuangalia mbali sanaa... lakini kuhusu dhambi ya adam na hawa adhabu yake kutuhusu na sisi... ata maovu yetu yatakuja kucost vizazi vyetu...
Mimi nafikiri kwamba huyo dada anayo nafasi ya kuapeal kama kunaonekana kuna onevu wowote... unapopewa kodi yako sio mwisho kama haujaridhishwa... lakini kama ni kweli ndo kiasi anapaswa kulipia basi afanue hvyo kwakuwa ukimuhurumia kila mtu hauwezi kupata kodi...
Hapana bigmind kwani kuusema ukweli na taarifa rasmi kutoka kwa Mamlaka husika ni kosa? Yeye Ngoma ni mwandishi anazungumza mambo ambayo anapata uhakika..
Ni kweli yamelipiwa kodi zote za TRA isipokuwa ishu za bandarini ndo zilikuwa zinaendelea
Ukweli ni kwamba... magari yale yamelipiwa kodi yote ya TRA zaidi ya bilioni 500. Kilichokuwa kilichotokea ni kwamba tozo za bandarini ndo ilikuwa bado... nazo waliomba na nafuu ya tozo za bandarini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.