Recent content by Sebakujiwe

  1. S

    Kuvuka million kama Akiba ni changamoto sana

    Fungus standing order. CRDB wanafanya. Unaweka hela kwa account then mnakubaliana kila tarehe ngapi wanachukua kiasi mlichokubaliana na kukutunzia kwenye hiyo subaccount. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Kuvuka million kama Akiba ni changamoto sana

    Weka bank, fungua standing order account. Hutojutia. CRDB wanafanya, sijui kuhusu bank nyingine Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Huduma za jamii ndani ya maeneo ya kusubiri kivuko (Busisi na Kigongo) haziridhishi

    Heshima kwenu nyote wanajamvi. Kama heading inavyojieleza, huduma muhimu kama chakula na maliwato zipo chini ya kiwango katika maeneo ya kusubiri kivuko ya Busisi na Kigongo hapo chini ya kiwango hali inayopelekea baadhi ya wasafiri kufurahia safari zao. Mapungufu yaliyopo Ni mazingira...
  4. S

    Hili ni tatizo gani kiafya

    Kacheki afya yako
  5. S

    Airtel mnazingua, Internet yenu ipo ‘slow’ mno

    Ni kweli kabisa. Week hii Airtel imekuwa slow sana.
  6. S

    Mwenye kufahamu gharama za utalii wa ndani Arusha!!

    Sh 360,000 siku tatu huduma zote. Safari inaanzia Arusha. Kwa maelezo zaidi follow page ya @waziridelo - Instagram
  7. S

    Chato: Chatu aliyezua gumzo aondolewa na kupelekwa hifadhini. Wananchi waja juu

    Umejua kunichekesha. Niliwaza hill, lkn niliwaza angeng'twa mtu ingekuwaje?
  8. S

    Utaratibu na gharama za kupima vinasaba (DNA) Tanzania

    Habari za kutwa mzima wana jamvi. Kama mada inavyojieleza hapo juu, "Ninaomba kuelekezwa utaratibu wa kupima DNA. Lengo ni kujua baba halali wa mtoto. Shukran
  9. S

    A Tribute to my Friend Carol! Nitakukumbuka Daima

    Pole sana. Inaumiza kwakweli. Nimejikuta machozi yananitoka as if ninawajua nyote.
  10. S

    Vita ya watoto na baba zao kugombea maziwa ya mama

    Ni kweli kabisa, Maziwa ya mama alietoka kujifungua yana faida kubwa sana has a ktk kuimarisha kinga ya mwili. Mtoto akiwa mchanga huwa hamalizi maziwa, matokeo yake mama hupata maumivu kutokana na matiti kujaa. Moja ya tiba hii ni kuyakamua. Sasa badala ya kuyakamua na kumwaga si bora tu baba...
  11. S

    Hivi ni kwanini Watanzania ni waoga kufanya manunuzi Mtandaoni?

    Gharama imepanda siku hizi. Kila kimoja watakucharge 2500 kama sikosei
Back
Top Bottom