Vita ya watoto na baba zao kugombea maziwa ya mama

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
17,509
Points
2,000

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
17,509 2,000
Mkuu, mambo mengine huwa sio ya kuvamia.
Mkuu..... Ujuwe titi huwa linaliwa na wababa, ingawa nyonyo huwa linanyonywa na watoto....
NA MWANDISHI WETU

Kumekuwepo na desturi ya baadhi ya wanaume kunyonya maziwa ya wake zao wanapokuwa wamejifungua, kitendo kinachoelezwa kuwa ni ukatili wa kijinsia wanachofanyiwa mama na mtoto.

Juma la kwanza la mwezi Agosti kila mwaka, huwa ni wiki ya siku ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama duniani, katika kuelekea wiki hiyo wanaume wameaswa kuachana na tabia hiyo kwakuwa inawanyima fursa watoto wadogo.

Hayo yameelezwa na Afisa Lishe wa Mkoa wa Iringa, Neema Mtekwa alipokuwa akizungumza katika warsha na waandishi wa habari, amesema wanaume wenye tabia za kunyonya maziwa ya wake zao wakati wakiwa wananyonyesha hawawatendei haki watoto kwani wao hutegemea maziwa ya mama pekee kwa kipindi chote cha miezi sita ya mwanzo.

“Maziwa ya mama ni kwa ajili ya mtoto, ila kuna tabia ambayo inasemwa na bado haijafanyika utafiti wa kina, kwamba wapo baadhi ya wanaume wanapenda kunyonya maziwa ya wake zao wakijifungua, maziwa ambayo ni maalumu kwa ajili ya mtoto. Huu ni ukatili mkubwa dhidi ya mtoto”, amesema Neema.

Wiki ya unyonyeshaji duniani imewekwa kwa lengo la kusisitiza umuhimu wa maziwa ya mama kwa mtoto mchanga na mdogo.

Source:eatv
 
mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
17,509
Points
2,000

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
17,509 2,000
Imeripotiwa kuwa nchini Uganda kuna ongezeko la Wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao mara baada ya kujifungua

Kuna taarifa kuwa Wanaume hunyonya maziwa yote na kuwanyima watoto haki yao ya msingi

Wanaume wanaamini kuwa maziwa ya Mama aliyejifungua huwapa manufaa mengi sana

Source:JF
 
Sebakujiwe

Member
Joined
Jul 2, 2019
Messages
45
Points
125

Sebakujiwe

Member
Joined Jul 2, 2019
45 125
Imeripotiwa kuwa nchini Uganda kuna ongezeko la Wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao mara baada ya kujifungua

Kuna taarifa kuwa Wanaume hunyonya maziwa yote na kuwanyima watoto haki yao ya msingi

Wanaume wanaamini kuwa maziwa ya Mama aliyejifungua huwapa manufaa mengi sana

Source:JF
Ni kweli kabisa, Maziwa ya mama alietoka kujifungua yana faida kubwa sana has a ktk kuimarisha kinga ya mwili.

Mtoto akiwa mchanga huwa hamalizi maziwa, matokeo yake mama hupata maumivu kutokana na matiti kujaa. Moja ya tiba hii ni kuyakamua. Sasa badala ya kuyakamua na kumwaga si bora tu baba nikanyonya? Nikapata faida ya kimarisha afya na kumpunguzia mama maumivu.
 
google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
5,339
Points
2,000

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
5,339 2,000

kwani ni mali ya nani nyonyo hiloo ? baba ndo ana hati miliki mtoto anapewa fadhila tu kwa mwaka au miaka miwili alafu mzee baba anaendelea kukamatia kisima
 
google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
5,339
Points
2,000

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
5,339 2,000
Ni kweli kabisa, Maziwa ya mama alietoka kujifungua yana faida kubwa sana has a ktk kuimarisha kinga ya mwili.

Mtoto akiwa mchanga huwa hamalizi maziwa, matokeo yake mama hupata maumivu kutokana na matiti kujaa. Moja ya tiba hii ni kuyakamua. Sasa badala ya kuyakamua na kumwaga si bora tu baba nikanyonya? Nikapata faida ya kimarisha afya na kumpunguzia mama maumivu.
hapo sawa mpigieni makofi baharia wetu kwa mawazo mazuri, nafikiri kikao kijacho itawekwa kwenye ajenda
 
Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
22,424
Points
2,000

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
22,424 2,000
Kweli mkuu, mi binafsi nimeshindwa kuelewa inakuaje kuaje, yani mama anayenyonyesha, amnyonyeshe m'baba mtu mzima, mbona kama futui.
It is too hard to understand.
Kuna mmoja niliwahi kujaribu kulidaka tt, alini chamba hatari na akaniambia kwamba kama sikunyonya kwa mama yangu, yeye nimkome kabisa eti....
 
Forum statistics

Threads 1,343,883
Members 515,249
Posts 32,800,817
Top