Recent content by searcher

  1. searcher

    JamiiForums Tanzania Kama watu wangekuwa serious hili tangazo basi halifai

    Hii inaonyesha kwamba wanafanya kazi kwa kubahatisha
  2. searcher

    JamiiForums Tanzania Airtel hii sio fair

    Kudanganya wateja wenu kuwa bundle ni unlimited akati ni limited huo nao ni uwizi,,,kama mnadhani tupo kwa bahati mbaya...
  3. searcher

    JamiiForums Tanzania Mikeka yaokoa maisha ya wanafunzi wa chuo

    haaaa haaaa...wao huita mikeka nikaona nilichukue kama lilivyo
  4. searcher

    JamiiForums Tanzania Mikeka yaokoa maisha ya wanafunzi wa chuo

    Kwa vijana wengi wanao BET watakubaliana na mimi. Vijana wengi wamekimbiia kwenye BETTING, ambapo hujipatia pesa za kukidhi mahitaji yao. Hii hari imeenda mbali zaidi mpaka kuitwa "ofisi" yaani vijana wanachukulia BETTING kama ajira yao kwa kipindi hiki kigumu. Nini fikra yako juu ya mwelekeo wa...
  5. searcher

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Shule ya Msingi aua mwenzake kwa ngumi

    dogo ana ngumi jiwe....duuh ila hajakusudia kwa kweli
  6. searcher

    JamiiForums Tanzania Old Skool Bongo Hip-Hop & R n' B

    heshima kwako mkuu
  7. searcher

    JamiiForums Tanzania Picha: Nauza Sony Experia murua kabisa

    shilingi ngapi?
  8. searcher

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mwanza

    14,000,000 bei hyo hapo vipimo harisi kiwanja kesho napositi
  9. searcher

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mwanza

    Kiwanja kinauzwa Mwanza, kipo eneo la Malimbe (Nyegezi) njia kuelekea Sweya. Eneneo ni zuri kwa ajili ya makazi. Kwa anaye hitaji nitafute kwa 0769015725/0689346264
  10. searcher

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mwanza

    Kiwanja kinauzwa Mwanza, kipo eneo la Malimbe (Nyegezi) njia ya kuelekea Sweya. Kipo sehemu nzuri sana kwa ajili ya makazi. Kwa anaye hitaji nitafute kwa 0769015725/0689346264
  11. searcher

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata CPU

    ahsante kwa edetion, natafuta desk top computer ila monitor ninayo
  12. searcher

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata CPU

    Nipo Mwanza Nyegezi, Natafuta CPU Used iwe na processor dual core angalau kuanzia 2.4 disc angalau 120 nakuendelea. Mwenye nayo nicheki kwa 0769015725.
  13. searcher

    JamiiForums Tanzania Baada ya ku-install partition magic computer yangu haitaki kuwaka naomba msaada

    Documents zipo kwenye drive nyingine, Ahsante #Zasasule , bado inagoma inaleta vile vile, launch startup repair na start Windows normally
  14. searcher

    JamiiForums Tanzania MARTIN KADINDA,hivi kweli meneja ndo anatakiwa awe hivi kwa mteja wake.

    Mmmmh! Mbombo jilipo
  15. searcher

    JamiiForums Tanzania Baada ya ku-install partition magic computer yangu haitaki kuwaka naomba msaada

    Nilisahau kitu kimoja, natumia Windows 7 byte 32
Back
Top Bottom