Recent content by sean12

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Nimevutiwa na comment yako ningependa kujihusisha moja kwa Moja na biashara hii ya kimtandao. Je nini kinahitajika hasa katika biashara hii? 0714487311
  2. S

    JamiiForums Tanzania PICHA: Athari za mvua jijini Dar es Salaam

    Inanisikitisha hata suala hili nalo mnaliingiza kwenye siasa, hasa kwa kuilaumu ccm utadhani wao ndio wana leta mvua. Ni mara ngapi watu wameambiwa watoke mabondeni hawataki kusikia? Hata kama chama unacho kitaka wewe kingekuwa madarakani ndio kingeweza kuzuia mafuriko? Jaribuni kufikiri kabla...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi-Princess Casino

    :angry:
  4. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    nahitaji kufanya biashara ya nguo za kike hasa mitumba nahitaji ushauri wa kina kabla sijaanza kwakuwa wewe ni mzoefu naomba tuwasiliane namba yangu hii hapa +255 0714 4873 11
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba CV ya Prof. Sifuri Mchome, nna Mashaka!!!!!!!!!

    So hakuna kufeli sasa!
Back
Top Bottom