Recent content by SDG

  1. SDG

    JamiiForums Tanzania Video ya Mahubiri ya Askofu Mwingira yaondolewa mitandaoni

    Leo kafutwa yeye...
  2. SDG

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaweza kukosa Mkopo wa Dola Milioni 500 kutoka Benki ya Dunia

    USSR, Unashindwaje kutofautisha MKOPO na MSAADA?
  3. SDG

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa na radi jijini Dar es Salaam na Pwani yote. Mtaani kwako kwema?

    Mmmmh....niko Tangi bovu hakuna mvua na sijalowa.... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. SDG

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa na radi jijini Dar es Salaam na Pwani yote. Mtaani kwako kwema?

    Nakubaliana na wewe....ukanda niliopo hakuna mvua,kuna mawingu na upepo tu..... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. SDG

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Tito Magoti wa LHRC achukuliwa na watu wasiojulikana; Polisi wasema wanamhoji na wenzake 3

    Polisi wamekiri kumshikilia, haya sema Polisi ipo chini ya NGO?
  6. SDG

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotaka kuhamia au kuishi unapokuwa nchini Marekani

    Mayor hii ngumi jiwe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. SDG

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa treni reli ya kati yageuka sasa ni mateso

    Why unasema changamoto chache? Yaani huo ndio usafiri wao wa uhakika then ndio wanapata shida. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. SDG

    JamiiForums Tanzania Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

    Princess Muro pamoja na ubovu wa mabasi yake,ila kafanikiwa kuyauza yote....Bongo hakuna kitu kibaya wala kibovu. Dar Lux akiamua kuyaweka sokoni hayo mabasi atayauza....within a short time. Hofu yangu ni kwamba mabasi ya long route huenda huwa hayafanyiwi service hasa yanapofika usiku...
  9. SDG

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

    Wenyeji wameingiwa na tamaa, baada ya kusikia ni makao makuu, lakini wamesahau kuwa limebadilika jina tu,hawasomi alama za nyakati hata kidogo
  10. SDG

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

    Hebu weka hiko kipande kipo kwenye sheria au kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa? Mie nimesoma kanuni tu ambayo inasema ukiwa mgombea unapaswa uwe umedhaminiwa na chama.....sasa chama kimeshasema hakitashiriki uchaguzi mgombea atadhaminiwa au atapeperusha bendera ya chama gani?
  11. SDG

    JamiiForums Tanzania Jumapili Prof. Assad alikuwa akitafutwa anasema yupo nje ya Nchi

    Wengine elimu zao za hapa na pale na hata vyeti wameshindwa kuonesha japo mamlaka wanayo
  12. SDG

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamchoka Mbunge Kiruswa kwa kugongea lifti

    Simu hazina faragha. Tusijidanganye. Ila wamchekeche
  13. SDG

    JamiiForums Tanzania Green card lottery

    Jesse J Mwaka huu hakikisha unajaza form kabla Nov 5 haijafika au haijapita.
  14. SDG

    JamiiForums Tanzania Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

    Avae na za trafki
  15. SDG

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Naomba series inayoanza iwe walau episode ya 2 au ya 3 na iwe inahusisha crimes na intelijensia
Back
Top Bottom