Recent content by Afisa Mteule Drj 2

  1. Afisa Mteule Drj 2

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Una viashiria vyote vya kurudiana nae
  2. Afisa Mteule Drj 2

    Mbunge Musukuma ashauri V8 za Mawaziri zifungwe mitungi ya gesi ili kubana matumizi

    Ndio hizohizo jamaa zalisha kwa wingi ukawauzie
  3. Afisa Mteule Drj 2

    Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

    Kenge kabisa huyu hawa waendelee tu kututegemea wana viburi sana wakianza kuvishika vihela
  4. Afisa Mteule Drj 2

    Kufuatia mvua zinazoendelea nimegunduwa tiles zinaingiza maji, nini tatizo?

    JF bana mpaka upate majibu ya swali lako lazima usome walau comments zisizopungua 50,kwanza utakejeliwa,utaitwa kilaza au popoma,utaambiwa utafute hela,kisha baadae ndio mtoa msaada atatokea tena mmoja tu atakushauri kisha kwenye comment za mbele huyohuyo utakuta nae ameanza kukukejeli
  5. Afisa Mteule Drj 2

    Mazda Axela anauliza: Kwanini Hamnioni?

    Tutakuja hata kupanda tu hizi gari mkuu achia mbali kuendesha
  6. Afisa Mteule Drj 2

    Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

    Hata hutambui kuwa niliyemuita Gaidi mwandamizi ni wewe na sio yesu
  7. Afisa Mteule Drj 2

    Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

    Nani mtoto aisee usinikosee heshima wewe gaidi la kigogo
  8. Afisa Mteule Drj 2

    Kwanini unaishi Dar es salaam?

    Pamoja na hayo hayapunguzi raha ya kuishi daslam
  9. Afisa Mteule Drj 2

    Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

    Du kumbe alikuwa ana ndugu nilidhani alirokea kwenye sayari nyingine
  10. Afisa Mteule Drj 2

    Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

    Gaidi mwandamizi
  11. Afisa Mteule Drj 2

    Huyu mbwa vipi? Anaumwa au amezeeka?

    Kuna muhehe huko nyuma ya kibodi chake anakuona boya kwa kutochukua hatua stahiki
  12. Afisa Mteule Drj 2

    Jirani kanikwaza sana kajenga fensi

    Kwani umeshindwa hata kudandia huo ukuta ili muwe mnaongea ukiwa umedandia ukuta umetokeza kichwa tu
  13. Afisa Mteule Drj 2

    Je, ungependa urudi kwa muumba ukiwa na mwili wako au mwili ukiwa kama chekecheo?

    Kwanini usianze wewe kutueleza unataka urudije huko
Back
Top Bottom