Recent content by SCOAN

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete! Akishinda ubunge Chalinze nahama Nchi

    Mbona LizOne tunamuona kwenye ITV habari anajielezea vizuri tu?..we utakua na lako jambo.
  2. S

    JamiiForums Tanzania SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    It means huamini hata uponyaji ulioandikwa kwenye Biblia. Kama huelewi kitu ni vizuri ukaacha kukoment
  3. S

    JamiiForums Tanzania SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    Eiyer: Sio unyonyaji- Swala ni uelewa. Na hulazimishiwi kupata huduma. #Faith comes from the Heart
  4. S

    JamiiForums Tanzania SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    batchu: Tumekuelewa...njoo ofisin kwetu tukupe sticker na antg water bure.
  5. S

    JamiiForums Tanzania SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    annabrenda: wengine mnamajungu tu. Barikiweni sana
  6. S

    JamiiForums Tanzania SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    batchu: Tusamehe ndugu yetu....hatuna tabia hizo na usituchafulie tafadhali.
  7. S

    JamiiForums Tanzania SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    @sylm: Samahani sana.
  8. S

    JamiiForums Tanzania SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    KIBONGOMKUTI: Nisamehe kwa lugha yangu
  9. S

    JamiiForums Tanzania SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    @sylm: Sidhani kama ni kweli....mnamzingizia bure mtumishi wa Mungu. Nawaomba radhi kwa wote walipata matatizo kwa namna moja au nyingine kwani wakati mwingine hua anakua hayupo ofisini na kuwakabidhi watu wakumsaidia. Tunaomba radhi kwa hilo.
  10. S

    JamiiForums Tanzania SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    Kaunga: Kwa mwaka it depends na taarifa tunazopeleka SCOAN...zikipitishwa, ile idadi ya watu waliopitishwa ndio tunawafanyia utaratibu wa kwenda. Na it depends pia na tatizo la mtu linalompeleka..... Swala la ndugu yako, nitalifuatilia....lakini sina uhakika kwa muda wote huo mpaka sasa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    Kaunga: Sijasema mimi ni Martha(Take Note)
  12. S

    JamiiForums Tanzania SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    Jamani mtusamehe kwa yote.
  13. S

    JamiiForums Tanzania SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    uniq Samahani kwa yote jamani.
  14. S

    JamiiForums Tanzania SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    batchu: Huo ni uzushi tu, wala hakuna kitu kama hicho. Na mtusamehe kwa yote yale ambayo kwa namna moja au nyingine tumewakosea.
Back
Top Bottom