Recent content by scatter

  1. scatter

    JamiiForums Tanzania Usiangaike sana kusoma ili upate vyeti kama lengo lako kuu ni kujiajiri, cheti cha kuzaliwa kinakutosha

    Nilienda shule kupata maarifa tu ..kujibu maswali kama haya hapana hakuna kupimo kinachoweza kuhesabu punje kitaalamu ila particles tunazipima kwa Kg ,sukari,Michele,cement,mchanga nk. unasafari ndefu sana ya mafanikio wewe
  2. scatter

    JamiiForums Tanzania Usiangaike sana kusoma ili upate vyeti kama lengo lako kuu ni kujiajiri, cheti cha kuzaliwa kinakutosha

    Hakuna usanii imani yako ndogo sana huwezi anzisha wazo uwe CEo bila kuwa na vibali cheti cha maarifa utapewa tu hata na TRA msee..nge kweli na bado wakija kukagua watakudai cheti cha biashara Ingekuwa kila mtu anachowaza ndio anachofanua basi ingekuwa nchi ya ajabu sasa hivi huwezi hata...
  3. scatter

    JamiiForums Tanzania Usiangaike sana kusoma ili upate vyeti kama lengo lako kuu ni kujiajiri, cheti cha kuzaliwa kinakutosha

    Kila mtu ana uwezo wa asili/akili ila sio kila mtu ana maarifa ndio maana wachache wanafanikiwa kuipata pesa na wengine wanapata mapesa mengi
  4. scatter

    JamiiForums Tanzania Usiangaike sana kusoma ili upate vyeti kama lengo lako kuu ni kujiajiri, cheti cha kuzaliwa kinakutosha

    Elimu ya darasani inakupa maarifa ya kupambana na maisha ndio maana China wanakufundisha maarifa ya kutengeneza simu. Na unapewa cheti Cheti sio maisha mazuri cheti kinaweza kukupa nafasi sehemu mfano cheti cha nfanyabiashara na ukafanya shughuli zako rasmi. Msee...ng..e kweli una mawazo...
  5. scatter

    JamiiForums Tanzania Usiangaike sana kusoma ili upate vyeti kama lengo lako kuu ni kujiajiri, cheti cha kuzaliwa kinakutosha

    Acha ubishi.. msseen..ge kweli maarifa ni muhimu aliyedondoka na ndege ni alikua na cheti cha kumiliki kampuni
  6. scatter

    JamiiForums Tanzania Linah Sanga: Nina umri wa miaka 25, wewe mwenyewe si unaona mimi ni mtoto wa 2000

    Amini, Morrison, Diamond platinum, dj q, dogo jana , vibopa wa 2010
  7. scatter

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

    Tukumbushane historia ya marehemu diana aston villa alikua ni nan zaidi ya unenguaji na kuna ushahidi wowote wa kutaja majina ya watu
  8. scatter

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Dk Asha Rose-Migiro, Kenani Kihongosi ni wa Kimkakati huenda wakatenguliwa baada ya malengo kutimia

    Hujui hii storia asha rose migiro ni long term women impowerment regime na muda ndio huu.....
  9. scatter

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada wa ramani Kali ya kisasa chumba sebule jiko choo

    Nakulàan unadharau na kauli mbaya hii raman utaipataje sasa
  10. scatter

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban waamuru saluni za wanawake zifungwe

    Kwanini unakua mfia dini unajivika matongo Tonto na kumeshakucha
  11. scatter

    JamiiForums Tanzania Wadogo zangu mnapotea, bila nidhamu ya pesa utaenda kukariri plate number za wenzako

    Pombe usipojicontrol Kila simu utakua unajiapiza kuacha mimi falsafa yangu ya Sasa ni kunywa kistaraabu au kuacha, ukiwa huna nidhamu ya pesa Kila simu pombe na mademu vitacontoral maisha yako
  12. scatter

    JamiiForums Tanzania Kwanini trafiki akisimamisha daladala, lori au basi anateremka konda/utingo na si dereva?

    Ishu sio kusimamisha Hela wanabeba makondakta
  13. scatter

    JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Uzi ufungwe
Back
Top Bottom