Recent content by scalethat

  1. scalethat

    Kwanini Ndoa Hazidumu?

    Alhamdulillah namshukuru maulana kwa kunipa a husband huyu,naamini tutazeeka pamoja inshAllah.namwelewa yeye pamoja na mapungufu yake...... from my experience HESHIMA is everything,both sides.hii itawajaalia uvumilivu na utulivu.upendo na amani vitatawala.hofu ya kila mmoja kumpoteza mwenzie,sio...
  2. scalethat

    Tunza Mkeo ili usimchoke na usimkinai

    Kwakweli umeongea ya mwaka mzima na nusu.subiri uone wanaume selfish watakavyokupinga
  3. scalethat

    Natafuta Mchumba/Mke

    Mbona unamkatisha tamaa mapema mnoo
  4. scalethat

    Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

    Daaàah hivi unajua watoto wengi waliotelekezwa na baba zao ni watoto wa mpango kando, yaaaan wengi wao ni baba kamuongopea mwanamke. Ommy dimpoz baba alikua ana familia teyari, diamond baba yake teyari alikua ana familia tena baba wote wawili, same to Majaliwa. Mmejaa lawama kwa wanawake eti...
  5. scalethat

    Taifa linaomboleza. CHADEMA wamebaki kuendekeza majungu. Hawajui hata zilizoendelea raia hushiriki kuokoa kwenye majanga?

    Nani kalaumu raia kufanya uokoaji na sio chadema kila mwenye akili timamu ameona upumbavu wa serikali yetu na amepaza sauti. Wanajeshi wa majini wangewahishwa on time naamini wote wangetoka hai... Majaliwa kapata helkopta ya kwenda huko lakini sio watu ambao wangetoa msaada kwa waliokutwa na...
  6. scalethat

    Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

    Inna lillah, tufunge na kusali sana kuombea ndoa zetu. Maana unaeza hisi unamjua mtu kumbe
  7. scalethat

    Johnny Depp azikataa pesa za fidia alizoshinda kwenye kesi dhidi ya aliyekuwa mkewe, Amber Heard

    Yaaaan huyu mbrother kila siku ananiongezea sabab za kumpenda zaidi.
  8. scalethat

    Changamoto za ndoa

    Hamnazo huyu,loh ndo nikute ni mke wa mtoto wangu sijui ntafanyaje🙆. #mamamkwe
  9. scalethat

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Asante sanaa......ngoja nianze mdogomdogo
  10. scalethat

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kati ya hizi niangalie ipi, jewel in the palace nshaiona.
  11. scalethat

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Sawa ngoja nifanyie kazi ushauri wako
  12. scalethat

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Ngoja nijaribu
Back
Top Bottom