Recent content by Scaboma

  1. Scaboma

    Wapi naweza kupata mkopo niboreshe biashara yangu?

    Nahitaji fremu 2 ili kila moja iwe mbali na mwenzake ili mzigo uondoke kwa Kasi, na pia unapofungua frame kumbuka hapo Kuna leseni ya biashara na Tax clearance, na frame unapoichukua lazima uikarabati kwa kuweka sawa kutokana na biashara utakayoifanya ili iwe mvuto kwa wateja, notahitaji na...
  2. Scaboma

    Wapi naweza kupata mkopo niboreshe biashara yangu?

    Uko kwenye vikundi wanaanza na hela ndogo sana shida yangu ni 10m ndio maana naweka nyumba.
  3. Scaboma

    Wapi naweza kupata mkopo niboreshe biashara yangu?

    Habari za majukumu wadau, Mie ni mjasiriamali mdogo wa nafaka, natoa mikoani nazileta mjini nauza kwa jumla, Sina fremu ya kufikishia biashara yangu hivyo nikifika madalali hunidaka na kunidalalia kwa wanaouza kwa jumla nami nageuza zangu shamba. Hii hali nimejikuta kama nawatajirisha madalali...
  4. Scaboma

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukitaka pesa chagua off side 1 half unde 3.5 mara nyingi odds ua 1.16 hadi hadi 1.26 chukua timu zako 3 kwa siku 2 odds unafunga hesabu.
  5. Scaboma

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Al Alafu unaivuruga kwenye maji ndio uogee au unangoja iyayuke ndio uogee, maana mi nimejaribu kuinyunyizia aiyayuki mpaka uikorogea na mkono ndio inayayuka alafu naogea.
  6. Scaboma

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Kwa kweli toka nianze kutumia Chumvi kwa kuogea, kutupia chini ya kitanda na kumwagia ndani na nje ya nyumba kila na kila pembe ya nyumba na vyumba na milango na madirisha na getini hadi juu ya paa la nyumba nzima kwa kweli kila ifikapo saa 3 usiku mapaka yanasumbua sana kwa kulia uku...
  7. Scaboma

    Je, ni kweli Chumvi na Mkaa huzuia nguvu za giza?

    Kitunguu swaumu unakifanyaje? Na mkaa inatakiwa ulio tumika ukazimwa au ambao aujatumika?
  8. Scaboma

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ugeni unamsumbua achana naye.
  9. Scaboma

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nashukuru mwamba🙏🏿
  10. Scaboma

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wataalamu wa basketball 🏀 kuna option ya REBOUNDS aneifahamu naomba anipe maelekezo na inakuaje kuaje hadi zipatikane points za REBOUNDS?
  11. Scaboma

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shusheni material za basketball 🏀 za leo wazee.
  12. Scaboma

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndio ikiishia 2 unakua refunded hela yote bila faida ikizidi 2 inakula na faida ila ukiwa chino ya 2 upati hata 100 kwa kampuni yoyote ya betting hapa duniani.
Back
Top Bottom