Kila Jambo huwa na mrejesho wake, Sasa ni wakati wa kutuambia toka awamu ya kwanza wapi wamebainika na wanachakulia hatua gani?
Lkn ajitathimin kwa kutaja majina hadharani badala ya kufanya kimya kimya Kuna faida na Hasira zipi?
Mda ni mwalimu ambae hajawahi kushindwa Let's wait and See.
Kama kwa mahojiano waliyoyafanya nae hawajaridhika kilichofuata ni kumpeleka Mahakamani, Sasa hayo ya mpaka Wajiridhishe ndipo wampeleke Ni lini na sheria ipi na Imeanza lini? Ama kweli ulevi wa madaraka ni tatizo.
#FreeMexecenceMello
Hata kama haki ya mtu itacheleweshwa naamini Haipotei kamwe, Mahakamani ndiko sehemu pekee haki Hupatikana, Sasa kwa nini hawataki kumpeleka huko, hii ni kuvunja sheria makusudi ili kutunyima uhuru wa kusema na kukosoa Viongozi wetu tulio wa chagua wenye we.
#Free Mexence Melo
Katika swala hilo Kuna mawili, kwanza Yeye aone kuwa akifanyacho ni dhambi na ni Kinyume na Maagizo ya Mungu na Kulitambua hilo lazima nguvu za Ziada zinahitajika ambazo wewe uwe Chachu ya kumbadilisha na ajitambue na aone hilo ni tatizo na linahitaji Tiba
Pili wewe ukubali kufanya akipendacho...
Hayo yote uliyoyasema ni hisia zako tu juu ya wewe unovyoona na si ukweli halisi ulivyo, huwezi ukawaza sawa na mtu mwingine awazavyo yeye na ikawa sahihi. Kifupi tundu lisu kumukosoa Rais yuko sahihi kama anakiuka katiba ya nchi aliyoapa kuilinda. Anyway no one know everything but everyone know...
Ora upo mkuu, kung'ang'ania inafaa ikiwa unaona kesho yako ipo kwa huyo mwanaume na atakupatia furaha na Amani ktk maisha yako ya baadae, na sio king'aacho ni dhahabu.
Pole sana Mkuu kwa yaliyokutokea, Mshukuru Mungu kwa Kuwa mvumilivu kwa kipindi kigumu ulichokuwa nacho na kufanikuwa kukivuka vzr.
Ushauri kabla ya kuamua nini cha kufanya Jiridhishe na maamuzi yako kwanza juu ya kile Unachotaka kukifanya.
Jipe mda wa kufanya tafakuri ya kina juu ya kile...
Mseza mkulu heshima kwako mkuu, ulichokisena ni kitu kizuri sana lkn tukijaribu kukiweka ktk uhalisia kwa kuangalia vitu kama, Aina ya watu tulionao, Elimu tuliyonayo, mazingira pamoja na miundo mbinu ya hapa kwetu hilo linawezekana?
Kwa nchi yetu hata kama utawapenda vipi wananchi wako bila...
Mkuu Hongera kwa kumpenda mchumba wako, hiyo ni ishara nzuri ya Upendo ulionao kwake.
Nikuume sikio tu ndugu yangu na rafiki yangu kuwa unachokifanya na ambacho unaendelea kukifanya SIO njia sahihi ya kukuhakikishia ulinzi wa mchumba wako.
We umejikita kuangalia sana vitu kama simu na Jinsi...
Mkuu Juvenile Davis, Hayupo aliyewahi kumkomesha mwanamke kwa kufanya nae mapenzi, zaidi ya kujiumiza yeye mwenyewe. Kazi kwako ila Uhai ni kitu cha thamani kuliko vyote Duniani.
Ora unafurahisha sana nimekupenda Bure, uyasemayo ni sahihi na kweli tupu maana hata wife wangu yuko hivyo na nilifikiri ni ugonjwa kumbe Kuna watu wa namna hiyo
Sasa kama Kuna sehemu mbunge kaona Kuna fungu limekuwa allocated ambalo kimsingi sio kipaumbele mhimu ikilinganishwa na maeneo mengine, si lazima ajipange akwamishe bajeti ili waziri afanye vzr allocation yake kwa masilahi mapana ya nchi.
Mfano Kuna fungu limetengwa kwa ajiri ya kujenga uwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.