Recent content by sayme

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nasafiri kwa basi kutoka Dar kwenda mkoani Mwanza, nimepangwa siti moja na mtoto mmoja mkali sana!

    wooii, we nawe usichukulie maisha serious kihivyo, hili jukwaa ni chitchat!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nasafiri kwa basi kutoka Dar kwenda mkoani Mwanza, nimepangwa siti moja na mtoto mmoja mkali sana!

    Sijaelewa, ni kwamba tayari upo safarini na huyo manzi au unatarajia kusafiri naye siku ya kesho yaani umekutana naye kwenye kukata tiketi? hebu jibu kwanza hayo halafu nitakushauri kitu kizuri
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbaba mtu mzima anatafutwa

    :p:p:pasante. Hakuna la ajabu nadhani
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbaba mtu mzima anatafutwa

    mtu wa miaka 50 sidhani kama anakuwa ameshastaafu. Kwa nini jamii haijielekezi kuwa na mawazo chanya jamani?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya yafanyiwa majaribio. Yaenda Kigoma bila abiria na kugeuza bila abiria

    wewe unatafuta ban
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta wa kujenga naye maisha

    Na wewe ni jinsia gani?
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumpata mpenzi mwenye mapenzi ya kweli.....

    easier said than done
  8. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tulikosea Wapi, Mbona kila Rais bora ni aliyepita?

    Tatizo hatujui tunachokitaka, hivyo chochote kitakachokuja tutakitoa kasoro tu. Na siku zote ng'ombe haoni thamani ya mkia wake mpaka ukatwe na majuto ni mjukuu....nimemaliza!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ninatabiri sehemu iliyotokea kupatwa kwa jua kutatokea maafa haya hapa chini

    mheshimiwa mzizi, kupatwa ilikuwa Mbeya tetemeko ni kagera na mwanza!!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

    Dah! kweli siku ya kufa mtu huijui na huikwepi. wapumzike kwa amani waliotangulia. pole kwa familia zao.
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kujamiiana na roboti kutasababisha kupungua kwa tendo hilo baina ya binadamu kufikia mwaka 2050!

    hata sijui tunakoelekea ni wapi maskini....na huyo aliyedesign marobot ya shughuli hizi ana matatizo makubwa ya kimahusiano, alipata wapi hili wazo sasa kwa mfano?? wateja wake wa majaribio ni kina nani?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya Mwanza, maduka yafungwa kwa ukata

    kwa mita moja ya mraba.....wastani wa vyumba huwa ni kama mita 10 za mraba (square metres). umeelewa?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Maajabu Hayaishi

    Hata kama wanatumia ngazi za Kenya airways lakini hiyo bilashaka hiyo ni photo shop maana zetu ni bombardier hatuna jet sisi
Back
Top Bottom