Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
Nchini Tanzania Sehemu iliyotokea kupatwa kwa Jua inaonyesha ishara ya kutatokea njaa, au ukame, au vifo vya ghafla vya watu mashuhuri, au maradhi ya ajabu na ukosefu wa mvua, Mitetemeko ya Ardhi na Mafuriko Mwenyeezi Mungu atulinde na hayo mabalaa amin.