Recent content by sawaria

  1. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

    Unataka kutuaminisha kwamba Osama hakuwa gaidi? Au hakua kiongozi wa al quaeda, au wewe al quaeda unawaelewaje ni chama cha siasa??
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

    Kwa kifupi inaonyesha wewe unaielewa hii story kuliko mleta Uzi ila namshukuru Kwa kuanzisha wengine tukaelewa japo Kwa kiasi flani kuhusu mwanzo na kufeli Kwa Osama.thanks
  3. S

    JamiiForums Tanzania Shuhudia maajabu ya Mungu, embe yakutwa ndani na maandishi "allah" kwa lugha ya kiarabu

    Viroba vya asubuhi ndo madhara yake
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa Magwiji Waliobobea ktk Sheria za Kanisa Katoliki tu

    Kanisa katoliki ndio taasisi kubwa ya kidini au niseme ndio thehebu ambalo mategemeo yetu tuliowengi serikali inapopotoka au ikatokea dhuluma kubwa Kwa taifa la mungu kama tulivyoshuhudia kipindi hiki kanisa lichukue hatua ya kuikemea serikali Kwa nguvu zote Toma rohoni tena si rohoni tu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Olesendeka; Lowasa hakula hata sh 5 kwenye richmond

    Watu wenye utaalam wakufanyia kazi ardhini kwenye miamba wakipewa kazi ........ Nimecheka mbavu cna
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kikao cha CCM mchana huu Dodoma!

    Naungana na wewe muhongo, werema,tiba,masele ila Kwa mtoto wa mkulima pagumu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Majumuisho ya vikao vya Baraza la Mawaziri na vikao vya CCM Dodoma juu ya Escrow

    Ndio maana dola inapaa kama uchumi wetu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Majumuisho ya vikao vya Baraza la Mawaziri na vikao vya CCM Dodoma juu ya Escrow

    Unatumia kiungo gani kufikiria?
  9. S

    JamiiForums Tanzania JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    Mara nyingi huwa nalazimisha akili yangu kukataa ule usemi wenzetu wanaosema sisi mweusi ni baboon, sasa kwahaya niliyoyashuhudia Kwa kipindi cha takribani miaka kumi nafsi inanisuta
  10. S

    JamiiForums Tanzania Maajabu yatokea alipokuwa akizikwa Nabii Eliya Munuo wa Mbezi Beach

    Kuelewa anachoandika pdidy uwe na kipaji chakubashiri hapa alimaanisha kitu flani
Back
Top Bottom