Olesendeka; Lowasa hakula hata sh 5 kwenye richmond

Olesendeka; Lowasa hakula hata sh 5 kwenye richmond

Anachuki na muhongo baada ya kuonesha kile cheti chake alipata zero.

ahaaaaa.basi leo nimepata picha..jamani ili suala la escrow watu wamepata chance ya kulipiziana visasi
 
Sendeka ni mnafiki tu.

Hapana Sendeka sio mnafiki wewe ndio mnafiki,angekuwa mnafiki asingesema yale aliyoyasema mjengoni,akina Nchambi,Asumpta,Ghasia,Kisangi,Luhende,Ndasa &Co ndio wanafiki na tunawasubiri 2015
 
Lowasa aaliiiba tena kiasi kikubwa cha fedha
:sad:Unajua CCM walidhani kwa kutoa nafasi Muhongo kujitetea, ndiyo watazima issue yote, kumbe ndo wamewasha moto, wameibua hata ambayo yasinge julikana. Mwenzao Lowasa alipo wajibika tu ikawa salama ya serikari na pia mambo mengine ambayo Dr. Mwakyembe alisema yalifichwa ili kuinusuru serikari, maana kama Lowasa na akina Karamagi wangekomaa na kutetewa kama wanavyo fanya ccm leo Unge uona Muziki wake.
 
LOWASSA amelikoroga, , njama zake za kutaka PINDA adondoshwe zimegonga mwamba na washirika wake wakuu, CHENGE, NGELEJA wanakaangwa, ni pigo kubwa kwa LOWASSA. mshirika wake mkubwa aliyebaki ni OLESENDEKA, sijui atamuokoaje bwana Manywele na mpaka PINDA aondoke

Hujui kitu wewe, Lowasa na Olesendeka??
 
Watu wenye utaalam wakufanyia kazi ardhini kwenye miamba wakipewa kazi ........ Nimecheka mbavu cna
 
Huyu ole sendeka si alimshambulia Lowasa akasema ingekuwa China angenyongwa leo kageuka!huyu anafanana na kinyonga.
 
Back
Top Bottom