Tambua haki zako ndugu hizo fedha ni kodi unazolipa kila siku hata mtoto ana tarajia kuzaliwa analipa ikiwa ni pamoja na mirahaba (gawio)ss iweje uone ni hisani ya raisi? Acheni ujinga tambueni haki na stahiki zenu kama Watanzania na walipa KODI.
Akili mgando ninyi ndo wale mnao amini kuwa babu na bibi zenu waliotangulia ni mapepo mzimu na mashetani ila babu na bibi za wazungu ni watakatifu.Amka kutoka usingizi mzito uliolazwa na hao usema wana iQ kubwa.
Acha maneno ya kijinga fanyeni kazi sio kuwaita wenzenu wezi mnapo ona wanafanikiwa na wewe kaibe au katapeli kama ndo kufanikiwa acha wivu wakijinga tafuta hela.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.