Recent content by SAUTI YAKO

  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi mnakaa siku kadhaa maji hayatoki yakija kutoka ni maji yenye chumvi ndani yake na imeshakuwa mazoea sasa

    M ninaenda Moja Kwa Moja kwenye mada ni hali ya kawaida sana Kwa sisi watanzania hususani wa hapa Dar miaka na miaka toka enzi za Nuwa Hadi sasa dawasco kuwaamini wao katika kutupatia maji safi na salama Kwa matumizi mbalimbali kubwa likiwa ni ugidaji wa maji hayo tena bila ya kuyachemsha hiyo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sugu ukikubali kudhulumiwa haki ya ubunifu wa wazo lako kimuziki safari hii nitakushangaa sana. Bado nasubiri response yako kuhusu hili tamasha.

    Hiyo ndio maana yakuitwa sugu,sugu kama sugu ni international wataoenda kwenye tamasha hilo kutakuwa hamna jipya maana hata sugu ataandaa matamasha katika siku hizo hizo walizopanga
  3. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ili mtoto aone raha kwenda shule ni lazima aende na hela ya walimu

    Teacher maslahi sikiliza kazi ya uwalimu sio biashara au kumwagiza mwanafunzi aje na fimbo ya muanzi Kila juma3,ungechagua kazi nyengine kama ualimu hakuwa ndani yako
  4. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ili mtoto aone raha kwenda shule ni lazima aende na hela ya walimu

    Vyuma hivi hata uvipake oil chafu haviwezi legea Chuma cha kwanza Kwa sisi tunaoishi uswahilini ni shule za msingi za serekali, hizi shule sasa wazazi tunawatumikia walimu bila kujua kibri hichi wamekitoa wapi tena Kwa kasi ya ajabu kupitia utafiti niloufanya ndani ya miezi 4 ilopita RAHA YA...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Whatsapp kuacha kufanya kazi kwenye simu za zamani

    Mwenye mawasiliano na ngolo kante anisaidie kumfikishia taarifa huko uarabuni
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kukatika kwa maji na mvua hizi zote suala hili limakaaje maana linachukuliwa kama sio kero

    Wakuu heshima kwenu, Leo tangu kumekucha nimekaa nikiwatafakari dawasa na hao wizara ya maji Kwa ujumla, tangu udogo wangu sijawahi ona Dar ikikosa maji hasa kipindi hichi cha mvua lakini mwaka huu najionea maajabu yani mashikoro mageni Kinachowabeba walalahoi huko mtaani Kwa sasa ni hizi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kuuza dhahabu ni jambo la hatari kuliko tunavyofikiria

    We unawaza kikufaacho chako mkuu kuuza hiyo ni sawa na kuuza nyumba yako halafu uende ukapange.ndio tuna rasilimali za kutosha kama mbuga zinazoendelea kuliingizia taifa Pato,lakini waza ikitokea siku utalii ukakata kama enzi za korona na hakuna misaada tutauza nini kutatua shida zetu za...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Penye kusifia tusifie, hongera TANESCO

    Wakuu nachukua nafasi hii kuwapongeza TANESCO kwa kuweza kupiga hatua ya ukuaji kwa kuhakikisha licha ya ukame na vipindi tunavyopita bado wamekuwa wakitupa umeme pasipo kukatika masaa 24/7. Muda huu wana Dar tungekuwa huku tunalia na maji huku tunalia na TANESCO. Wote tunakumbuka vipindi vya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu tangu Jana nimeweka hela kwa akaunti meridian kubet kwangu imekuwa changamoto,kila nikijaribu kulog in haikubaliki,je tatizo ni simu yangu au wao naombeni msaada wenu
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kuvuja taarifa za Sugu kuendelea kushikiliwa, aachiwa Mchana huu Dar, kapigwa sana

    Hata vijana wenyewe wenye siku yao hawajui kama kuna watu wamepigwa wako size huku itigi na k vant na double kick
  11. S

    JamiiForums Tanzania Maokoto ya wanamichezo wa nchi mbalimbali wanaoshinda medali za Olympics

    Jifunze kwanza fitina ya kuipata hiyo nafasi mpwa kabla ujajifunza hiyo baiskeli mpwa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Maokoto ya wanamichezo wa nchi mbalimbali wanaoshinda medali za Olympics

    Nyumba isokuwa na amani ata ukiwapikia pilau la nyama si kitu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee kama nina gundu odds 519 siku 4 zimepita sijala hiyo hela wala siijaipata yote ,siku ya kwanza kuitoa ikagoma hewani,ikarudishwa nkaitoa kwa njia ya vocha kampuni fulani hadi jana mawakala wao na kampuni ni shida Leo naambiwa nsuburi hadi kesho Leo nataka niseme kampuni za uhakika tz n...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata mda huu nimepiga mara mbili wanapokea halafu wanakata.hela tangu jana hawajarudisha kwenye akaunti kuna kampuni zinavunja sana moyo kwa kweli
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi premier bet nna miaka mingi sijaitumia juzi nkawajaribu kwa stake ndogo tu mkeka ukajibu,Leo nikaivuta kwa njia ya voucher tangu saa 7 mchana hivi hela imekatalia hewani,sio kesi ,kesi unapopiga simu kwao kutaka mssada na msaidizi anakata simu kabla ajakusaidia hii taasisi ya bodi ya...
Back
Top Bottom