Recent content by Sauti ya Rondo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Chahali usipotoshe, Dkt. Kipilimba hajawahi kuwa chaguo la Membe kwa Magufuli

    CHAHALI USIPOTOSHE, DKT. KIPILIMBA HAJAWAHI KUWA CHAGUO LA MEMBE KWA JPM Nimesoma tweet ya aliyekuwa Ofisa wa TISS kuhusu anazoita njama za kumhujumu JPM zinazoratibiwa na Membe kwa ushirikiano mkubwa kutoka kwa DGIS Dkt. Kipilimba. Chahali anatupasha habari kwamba ni Membe aliyempeleka Dkt...
  2. S

    JamiiForums Tanzania TRA yadhamiria kuzuia piracy kazi za wasanii kwa kukamata Cds feki.

    Kamishna wa kodi za ndani wa TRA,Ndg.Elijah Mwandumbya aamua kupigania maslahi ya wasanii wa taifa kwa ujumla kwa kuzuia ulanguzi wa kazi za wasanii unaopelekea serikali kupoteza mapato kwa maslahi ya maendeleo ya taifa. Fungua link:
  3. S

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Polepole apelekwe shule kuijua vyema itikadi ya CCM. Ni ajabu Kamati Kuu kukaa bila Katibu Mkuu

    Ninazidi kuamini maneno ya mhenga mmoja mtoto wa Mzee Anthony Ntachile kuwa Intelligence is an art of interpretation.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikali imulikeni TDL na TBL, wasambazaji wazawa wanaonewa sana

    SERIKALI IMULIKENI TDL NA TBL.WASAMBAZAJI WAZAWA WANAONEWA SANA. Tumekuwa tukishuhudia namna serikali yetu pendwa ya awamu ya tano chini ya Rais wetu mpendwa Dk.John Pombe Magufuli inavyojitahidi kuweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara wazawa ila juhudi zake zinakwamishwa na wawekezaji...
  5. S

    JamiiForums Tanzania My little story with Makonda about leadership, kwa faida ya wasiokujua

    Rc Paul Christian Makonda ni kiongozi mzuri.Tupunguze majungu!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Membe atuma salamu za rambirambi kwa familia ya Samweli John Sitta.

    Mama Margaret Sitta, Mimi na familia yangu napenda kuungana na mamilioni ya Watanzania kutoa salamu za pole kwa msiba Mkubwa uliolikumba Taifa. Wote tutamkumbuka Marehemu Mzee Sitta kwa Moyo wake wa kuchapa kazi kwa kasi na viwango Serikalini na Bungeni. Atakumbukwa kwa Uongozi uliotukuka...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwa nini utajiri uliosemwa wa Ridhiwani Kikwete umetoweka baada ya baba yake kuondoka madarakani?

    Ridhiwani was and is still a clean politician.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni kama asemavyo KITILA MKUMBO, tufanye vita na ulaghai wa kisiasa.

    Chadema wanaamini kuwa kwenye siasa hakuna urafiki au adui wa kudumu..
  9. S

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif ajibu tuhuma za kumsaliti Abdu Jumbe

    Maelezo ya Maalim Seif ni selected statement, not the whole. Kundi la "Front liners" lilikuwa na yeye Maalim Seif, Hamad Rashid Mohamed, Khatib Hassan, Ali Haji Pandu, Khamis Mloo, Jumanne Duni, na Sudi Yusuf Mgeni. Aulizwe Hamad Rashid Mohamed atawapa ukweli! Na ukweli ni huu; Mzee Jumbe...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zitto utapotea, achana na Rais Magufuli!!

    To me Zitto atabaki kuwa mmoja wa nguzo imara za upinzani na ukuaji demokrasia nchini.Pamoja na mapungufu aliyonayo ila bado ni mmoja wa wanasiasa bora kuwahi kutokea Tanzania.Ndiye aliyefungua milango kwa vijana kufanya siasa.Zipo motions kubwa bungeni alizisimamia na kuleta tija kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Vyuo vinavyoharibu Elimu ya Vyuo vikuu vya Tanzania

    Tuliosoma Tumaini tunajua ukweli uliopo.Hakuna uhaba wa walimu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania RC Makonda hakukata tamaa kwenye safari yake ya mafanikio

    Siku zote Makonda ameeleza kwenye vituo vya Redio na TV kuwa yeye ni mtoto wa masikini na hata wazazi wake ni masikini ila hakukubali umasikini huo ufifishe ndoto yake na ndiyo maana anafanya kazi kwa bidii na kujituma huku akiwapigania wanyonge na masikini. Katika muda mfupi wa utumishi wake...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Matapeli watumia jina la RC Makonda kutapeli

    MATAPELI WATUMIKA KUMCHAFUA RC MAKONDA. Kumekuwa na screenshot inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye picha na ujumbe unaoonesha kuwa RC Paul Makonda amefungua "Financial Institution" inayotoa mikopo kwa wananchi wa mkoa wa Dar es salaam. Tunapenda kutoa angalizo kwa wananchi wote kutoka...
Back
Top Bottom