Hot Lady
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,035
- 638
Wakati Kikwete akiwa Rais, Ridhiwani Kikwete alitajwa kumiliki mali nyingi sana. Makampuni mengi yakiwemo ya usafirishaji yalidaiwa kuwa ni ya Ridhiwani. Hata nyumba zilizokuwa zinajengwa maeneo muhimu ilisemekana ni ya Ridhiwani.
Humu kwenye social media mada za Ridhiwani zilikuwa hazikauki.
Hata hivyo nashangaa sasa hakuna anayemtaja tena Ridhiwani. Hii inanipa maswali mengi sana.
Je zile shutuma zilikuwa za kutengeneza?
Waliokuwa wanamuandika ilikuwa ni mkakati wa kumchafua baba yake?