Recent content by Saulloson

  1. Saulloson

    Tatizo la Rangi kwenye Ngozi

    Salaaam waungwana Msaada Tafadhari[emoji120][emoji120][emoji120];Nina tatizo kwenye ngozi ya mwili wangu,badhi ya maeneo yamepoteza rangi yake yamekuwq na rangi mpaka nywele nazo zimekua kama zimewekwa breach.Kuna daktari wa ngozi nilienda kumuona aliniambiq ni shida ya cell zinazosaidia...
  2. Saulloson

    Je unataka kukopa?

    Andika sasa kwa wakazi wa mwanza tuu
  3. Saulloson

    How can I get scholarship and sponsorship for abroad studies?

    nchi yoyote ndugu yangu nnacho taka kujua ni uatartibu ni jinsi gani naweza kupata hzo taarifa na chances zenyewe
  4. Saulloson

    How can I get scholarship and sponsorship for abroad studies?

    hi guys, sorry i have these questions i real need your help to answer them or just give me an idea.i just want to know will i be able too get sponsorship for abroad studies,where should i go? which sites may i get information? and if possible some one may tell me what steps which need to be...
  5. Saulloson

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nataka kujua inachukua muda gani ATM card zenu kuwa tayari na inakuwaje kama mtu upo nje kabisa ya mkoa uliofungulia account yako.asante in advance
  6. Saulloson

    Jiji la Mbeya kama kijiji

    Povu povu jlo broo kwani sehemu kuwa jiji ni hotel peke yake waulize walioupa sifa ya jiji walitumia vigezo gani pooor you
  7. Saulloson

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Nawachukia tena sanaaaaaa watu wanaoomba kuvunjika kwa amani ya nchi kwa upuuuzi wa kisiasa hata sio akili ya kawaidani mtu wz kuogopwa ww sio mtu mzuri hata kidogo
  8. Saulloson

    Nimegundua hili kuhusu bao la mkono linaloendelea

    Nafikiri update uzi eako kuhusu wabunge machachari wa upinzani zito ,mdee na uongelee pia sehemu mbunge machachari ester bulaya alipomnyang'anya mbunge wa sisiemu kweli mkuki kwa nguluwe
  9. Saulloson

    Haijawahi kutokea: Lowassa ashusha Tsunami Bariadi kwenye mkutano wa kampeni

    Mbina kunaonekana vumbi hapo kwa picha tope lilikauka kuwa vumbi
  10. Saulloson

    Hip Hop ipo mahututi nchini Tanzania, inakufa muda wowote

    Uhuni wa huu mziki pia ulitengenezwa na watu waliokuwa hawaupendi kama ww hvyoo lkn ukiulizwa uhini wake nn unaweza usijue cha kujibu #kidaganda ,#shardcole
  11. Saulloson

    Hip Hop ipo mahututi nchini Tanzania, inakufa muda wowote

    Na kujua utajiri wa hao watu rudi pia darasani kasome utajiri wa mtu kama fifty mnayemuita mwana hatakati kaupata kwa muziki au ujasiriamali utajiri wa hip hop legendary dr dree anaupata wapi ujasiriamali ni moja ya nguzo za hii kitu na imeongezwa baada ya kuonekana hawa wasanii wanaofanya huu...
Back
Top Bottom