William-123
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 197
- 94
Nimejaribu kufuatilia tetesi za matokeo ambazo zinatolea na watu mbalimbali. Lakini cha kushangaza NEC wakiyatangaza yanakuwa kinyume na jinsi ya matarajio ya wengi. Sasa nimeamini kuwepo kwa bao la mkono
Ishara ya Bao la mkono:
(1) Katika matokeo ya Urais yaliyotangazwa na NEC utaona jinsi tofauti ya kura kati ya Lowassa na Magufuli. Ukiona jimbo lowasa ameshinda ujue jimbo hilo lina watu wachache au tofauti ya kura ni ndogo na Magufuli. Lakini ukiangalia Majimbo ambayo Magufuli anashinda utaona Lowassa amepata chini ya asilimia 10 na Magufuli kuchukua 90. Utofauti huu wanaweka ili matokeo ya mwisho yawe ya Ushindi wa Magufuli. Lowassa kushinda majimbo yenye watu wachache ni kiini machooo tunapigwa..!!
(2) Guvu zinatumika kushinikiza Wabunge wote walio machacharii bunge lililopita wasirudi bungeni. Yaani wabunge wa upinzani..! Na hii itaipeleka nchi kuwa masikini zaidi. Kwani kila mswada wenye maslai ya Mafisadi waliopo CCM utapitwa bila kupingwa. Usitegemee kuwaona kina Zitto , Mdee nk..!!
(3) CCM watahakikisha wanachukua asilimia 80% ya viti vya bunge kwa mkono wa NEC.
(4) Matokeo yatachelewa kutolewa au yatatolewa kwa nguvu na NEC. Huku nje vijana waliopewa silaa wakijaribu kukandamiza haki za watu kwa nguvu na mabavu.
(5) NEC mbona haijatoa taarifa kuhusu masnduku ya kura yaliyokamatwa. Au yanaujua huu mchezo..?
Ushauri:
(1) Ili pasitokee fujo tunaomba NEC wawe wakweli na wasiendelee upendeleo.
(2) Kama kweli Zanzibar CUF wameshinda wawape ushindi..! Lakini mkichakachua itakuwa shidaaaaaaa!! Tunataka Amani.
(3) Mawakala wote muwe wakweli. Maana baada ya uchaguzi mtabaki na watu wenu mtaani. Sasa msilalamike watu wakija kuwaadhibu kwa kuendelea kuwakandamiza. Watu watalia na nyinyi hata baada ya mwaka.!!
Nawakilisha maoni .!