Recent content by Satoshi Nakamoto

  1. Satoshi Nakamoto

    Apartment for sale, Tsh. 1.5 Bilion

    Sawa, je wakati thamani ya kodi inapanda hilo jengo litabaki hivyo hivyo? Je lina uwezo wa kukaa miaka 52 ? Gharama mbali mbali na matengenezo ? Ndio kwanza hiyo miaka inaweza ikaongezeka badala ya kupungua!
  2. Satoshi Nakamoto

    Apartment for sale, Tsh. 1.5 Bilion

    Turudi Darasani: 1 month = 2,400,000 1 year = 28,800,000 1.5 Billion ukiigawa kwa 28,800,000 kila mwaka ni miaka: 52 (ndio pesa yako itarudi) Hiyo pesa si bora ununue BITCOIN 😎
  3. Satoshi Nakamoto

    Plot4Sale Kiwanja Kinakuwa Nzega

    Kuja kwenyu Usoto, Bumbui na Nkoogwe mwaatagha ghali sana mia.
  4. Satoshi Nakamoto

    E Card ya Voda

    Ukute wewe ndiye Mange mwenyewe umekuja hapa kufanya promo, lipia hilo tangazo chap!! Mdada wa hovyo!
  5. Satoshi Nakamoto

    TARURA: Barabara ya Goba Wakorea hadi Tegeta itakuwa ya lami, njia za watembea kwa miguu na taa za barabarani

    "Barabara hii ya Goba Wakorea (TegetaA) km 7.8 ipo katika mpango wa ujenzi wa kiwango cha lami ambapo ujenzi huo utakuwa na njia za watembea kwa miguu na taa za barabarani kupitia mradi wa DMDP II kwa Wilaya ya Ubungo." - TARURA Nimekaa Paleeeee :FeelsKinkyMan:
  6. Satoshi Nakamoto

    Modern contemporary house plan design

    1. It is STOREY not STORE 2. That is Double Storey, not Single Storey (store) as you mentioned!
  7. Satoshi Nakamoto

    Suluhisho la ukungu kwenye taa za gari lako

    30,000 is a big joke bro!! Go and revise your pricing!
  8. Satoshi Nakamoto

    Ni kifaa gani hiki?

    Eleza kwanza umekipata wapi
  9. Satoshi Nakamoto

    Car4Sale Nissan Patrol inauzwa Milioni 45 tu. Ipo Dar

    Kama katika kuzunguka kwako koote, ukakosa mteja wa hiyo 45m, kama utakua willing kuiuza kwa 20m utani DM!
  10. Satoshi Nakamoto

    Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui)

    Ba Wewe ni mshamba kama washamba wengine!
  11. Satoshi Nakamoto

    Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui)

    100% Bajeti ya serikali kwenye hiyo barabara ni kuweka lami, na wananchi hawajui ni lini hiyo lami itawekwa, hivyo wameamua kujiongeza kwa kuunda task force na kukusanya michango!
  12. Satoshi Nakamoto

    Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

    Haja ya Wakristo wote ni kuuona Ufalme wa Mungu, sasa kama Biblia imetuambia ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko TAJIRI kuuona Ufalme wa Mungu, wewe unategemea nani anapenda kuwa "Tajiri"? that is not so necessary but the truth is: Gap kati ya TAJIRI na Maskini ni kubwa...
  13. Satoshi Nakamoto

    Kutumia Browsers mbili

    Swali lake la msingi ni hiyo paragraph ya mwisho "Ku view browser nyingine bila kuonekana mbeleni mwa PC", kwa kifupi hicho kitu hakiwezekani, unless uwe na display 2 yaani kwa mfano hiyo PC yako, uifunge tena external monitor, then uki set multiple display, utaweza kuwa na screen 1 ikaonesha...
  14. Satoshi Nakamoto

    Bendera ya Tanzania Duniani

    Hoja yako ya msingi ni nini sasa? Maana sioni hoja hapo, unless kama hizo nyingine ulizo mention kama Burundi, Senegal etc pia zingekua ni diagonal!
Back
Top Bottom