E Card ya Voda

E Card ya Voda

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,831
Reaction score
7,644
Kila nikijaribu kulipia mange app kwa e card inakataa,nimewauliza voda wenyewe hawajibu,kama kuna mdau humu anaweza kunipa ufumbuzi nitashukuru
 
kweli na akili yako unasoma madudu ya Mange? Sijaongea kwanza kuhusu kulipia, nimeanza na kusoma kwanza, kulipia tutajadili baadae
 
Vijana kama Hawa wanamchango mdogo sana kwa taifa
 
Ukute wewe ndiye Mange mwenyewe umekuja hapa kufanya promo, lipia hilo tangazo chap!! Mdada wa hovyo!
 
Kwani mkuu unataka uongeze ujuzi zaidi kwenye fani yako ya ujinga kupitia app ya Mange?Nakutakia heri.
 
Back
Top Bottom