Huyo aliona "Yes"!!...wacha niongeze janaume lingine maana linampenda kweli mtoto wa mwenzie, wacha wasaidiane matumizi. Anyway, point yangu ni kwamba mkuu hapo wewe ndio unaliwa, na utajikuta unasomesha huyo mtoto...akimaliza masomo mshahara wa kwanza atapeleka kwa baba yake mzazi kwa...
Faru John alizaliwa Mwaka 1990 kwenye bonde la Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro. Ilikuwa ni jioni yenye wingu na manyunyu, mama mzazi alikuwa akilia kwa uchungu hadi pale alipofanikiwa kumzaa Faru John kwenye mazingira hatarishi yasio na Huduma muhimu kutoka kwenye Mamlaka ya Hifadhi ya...
Dah mkuu asante kwa kuniwakilisha vyema. Ila nimecheka sana.. you are my true brother. cc ......(anajijua). Mrejesho wiki ijayo. Watu wanaidharau JF upande wa mahusiano. Hawajui (in Fid Q's track voice: August 13)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.