Recent content by Satheesh Raja

  1. S

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Kitu kinachonipatia Shida kidogo ni pale wanapo jimilikisha huyu Mungu wa Mbinguni ambae ni wawoote na kumwita Mungu wa UWATA
  2. S

    Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    I am feeling very sorry for those who spend their own gud tym discussing posts of a person who has never been to school....as far as I am concerned I can not think or even dare try to talk with a person who has never been to school cuz wot else do u expect will come out from dat person...
  3. S

    GE2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

    You are nothing but a person with an empty head....idiot...! Ndoroooobo kabisa wewe.....
  4. S

    Dr. Bana hafai kuwa mwalimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam

    Its a very big shame to see our seniors behaving like this.....Hawa ndo wasomi wale wale wa kukariri maswali na majibu....hakuna PhD material kwene kichwa ya huyu jamaa....kajaa unafiki, uzandiki,kujikomba komba,cjui anafikiri watampatia nafac ya VC pale udsm Hajielewi kiujumla huyu jamaa....
  5. S

    TBC, ina maana Madiwani kuihama CCM Monduli sio habari?

    TBC1 toka jitu taalaam kabisa jitu bingwa kabisa katika Tasnia ya habari Bwn Tido Muhando kufukuzwa pale ndo ulikuwa mwisho wangu kuangalia hilo TV station....ila nasikia wanampango wa kunilazimisha kuangalia kila ifikapo saa 2 ucku kupitia huo Muswada wa habari...Mimi Naapa kuliko ni angalie...
  6. S

    Ajali mbaya katika eneo la King'ori Mkoani Arusha

    Kama ni kweli walikuwa wakifanya hivo wakati Huu wa Mwezi wa toba alafu watu wanaendelea kufanya Maujinga ujinga tuuu haaaa bila shaka yoyote hiz zitakuwa Laana....
  7. S

    Kashfa ya escrow sasa CCM anayebaki msafi ni Mheshimiwa Wassira tu

    Wahahahahaha we Jombaaa upo serious kwel?!?!?!?! Yaan unataka kivutio cha utalii kikae pale Magogoni?!?!?!? hahahahaha aaaaaiiiiseeeeeeee.........sie tushazoea kuona vivutio vya utalii kukaa Serengeti, Ngorongoro, Mikumi na kwengineko
  8. S

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    We Mwugulu Nchemba ungeenda wewe Dubai badala ya joyce mukya...!Maana naona ishakuwa nongwa sasa...! ngoja mkeo pamoja na wewe mshushwe kwanza nafikiri ndo utakwenda kushtaki vzuri...! Great minds discuss Innovations, Small minds like the one you have you idiot discuss people and Ngono...! You...
  9. S

    Nilionya kuhusu Zitto siku nyingi sana, hakuna aliyetaka kusikia

    Sasa Kama huna Hela unautaka u chairman wakazi gani?!?!?!?!Hivi kwel unaweza kuitwa baba wakati watoto hata hela ya kuwanunulia Chocolate huna?!?!?!? Twende mbele turudi nyuma siasa bila Cash ni tatizo...!Sisiemu wenyew wameshindwa kuwaondoa magamba kwasababu wanapenda boom lao jamani...
  10. S

    Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

    Mwiguluu Nchemba kwel ww ni fundi wa Kudesa yaan unadesa kila kitu. Haya maneno ya Akili ndogo kutawala akili kubwa ni Mh. Mch. Peter Msigwa aliwahi kuyatamka akiwa mjengoni dodoma. Anyway any how kufukuzwa kwa Zitto nyie sisiemu kunawahusu nn?!?!? Na hapa ndio tunaamini mia kwa mia kwamba...
  11. S

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    You need total Deliverance kwasababu una MAPEPO wewe....! Pepo nakuamuru umtoke mtu huyu ili ajitambue..... Hama hama hama hama....
  12. S

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Huyu jamaa alikuwa anafanya mawasiliano na Akina Rostam Aziz wa sisiemu sasa katika hali ya kawaida Wayahudi na wasamaria hawawezi wakachangamana hata siku moja...!Huyu kiukwel ni Msaliti mie naona Afukuzwe tu..! kama ni msaliti adhabu yake ni kufukuzwa...! Aende sisiemu kwa swahiba wake..!
  13. S

    Kazi ya Mwakyembe yaanza kuonekana uwanja wa ndege Dar

    Mwisho wa Ubaya wooote hua ni aibu..!
  14. S

    Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

    Kweli Kabisa yaan huyo jamaa anachokifanya ni kulipa fadhila maana wachina walikuwa hawana cha kusubiri ispokuwa ni kunyonga tuuu yule mwehu...!na babake akaona chakufanya ni kuuza nyumbani kwao(Bagamoyo na sasa anamalizia kwa wakwe zake..!
  15. S

    Baada ya Ikulu kuwa chini ya Wamarekani:Sasa ipo uchi kabisa , sasa ni kuangalia bugs+kubadili mambo

    Word....! Ngoja wajitokeze akina Edward Snowden wengine hapa...!
Back
Top Bottom