Recent content by Satan

  1. Satan

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wimbo uliotungwa na Shetani mwenyewe

    Kijana ana bipolar. Sisi mashetani huatutokeagi watu hovyo hovyo
  2. Satan

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchora katuni gazeti la Mwananchi, King Kinya afariki dunia

    Pumzika kwa Amani ndugu. Vibonzo vyako havikuwa na kelele, ni picha tu tunaelewa na kufurahi. Pengine ungekuwa nchi za wenzetu ungekuwa billionea na kuiacha familia yako na wanao na uzao wako wakineemeka na uwezo/akili yako, Ila Africa hii sidhani. Sala zangu na maombi yako yawe juu yako. Amina.
  3. Satan

    JamiiForums Tanzania Kwa dalili zote hizi, bado tu huamini kuwa Yesu Yu karibu kurudi?!

    Uumbaji wa mwanadamu ni nini? Ni Mungu kuamuamua kuishi Duniani. Mungu kuhama Mbinguni na kuishi Duniani ndio huelezea ama kutafsiri uumbaji. Binadamu ni hekalu au nyumba au sehemu au "host" ambapo Mungu anakaa. Yesu ni udhihirisho wa namna nyingine ya Mungu katika Maumbo ya mwili. Ukisoma...
  4. Satan

    JamiiForums Tanzania Ila Mahakamani😃😃😃😃

    "Sheria ni kama utandu wa buibui, kama upo imara utatoboa, kama upo dhaifu, utanasa"... Sina hakika kama nimenukuu kwa usahihi. Ila huu ndio uhalisia. Kusema hakuna aliye juu ya sheria ni uongo namba moja Duniani. Kila mtu ni muovu, ila "Mfungwa ni mtu asiye na hatia akafungwa, na asiye na...
  5. Satan

    JamiiForums Tanzania Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

    Moja ya sababu inayowafanya wengi washindwe kwenye maisha ni kutokuwa wawazi juu ya maisha yao. Kama mwanaume zungumza kile kilicho ndani ya bajeti yako, na kisimamie. Halafu, yeye, kwa maamuzi yake ataamua afuate au vinginevyo. Akifata, umewin. Asipofuata, umewin pia. Men are winners in...
  6. Satan

    JamiiForums Tanzania Ibenge alikuja Azam kujiharibia CV yake

    Achana kwanza na CV, huu ndo uwezo wake. Kila kocha ni mzuri au mbaya kutegemea na nyenzo alizonazo. Ibenge ukimpa timu ya Geita anaishusha kabisa.
  7. Satan

    JamiiForums Tanzania Labda nyie mnisaidie kujua, shida kuu iliopo Manchester United ni ipi?

    Kuimba ni kupokezana. Kama isssue ni utamaduni, basi Newcastle, Leeds, Astonvilla na Liverpool basi wangeendeleza ubabe. Na ninyi msingefikia hapa leo
  8. Satan

    JamiiForums Tanzania Makonda azikataa jezi mpya za Taifa Stars. Adai ziko chini ya kiwango na kung'aka "Tuheshimiane"

    Baba Keagan ndio huyo waziri? Username gani hii kama waziri mwenye dhamana?
  9. Satan

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Mamia waandamana Kishansa kupinga mapendekezo ya Katiba mpya kuongeza muhula wa Rais kuongoza

    Huenda kipindi cha ukoloni kilikuwa ni kipindi bora kuliko nyakati hizi. Wakoloni weusi ni wabaya kipita wakoloni weupe.
  10. Satan

    JamiiForums Tanzania Mkeo simpati, nataka kuja kuwasalimia watoto wangu. Tafadhari mwambie awalete kesho saa 3 asubuhi Matayo Hoteli

    Ukiamua kubeba dhambi: beba na adhabu zake. Ukiamua kuwa na maamuzi magumu kiakili(kukubali kuoa single maza) basi; bila shaka, yakupasa kuwa na maamuzi magumu kihisia(kukubali lolote litakalo tokea)... Asante.
  11. Satan

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama imechakatwa kupita kiasi?!!!

    Ukiona nafsi inapata mashaka, shikilia hapo hapo, acha ubishi. Wasiwasi ndio akili. Mambo mengine ni ngumu kuthibitisha. Nashukuru kama umenielewa
  12. Satan

    JamiiForums Tanzania Hijabu haina maana, tamaa ya wanaume wengi ni makalio, matiti na sura

    Kuna vitu havifichiki. Wapenda misambwandwa ni kama vibaka wazoefu wawezao kunusa hela hata kama umeificha kwenye soksi. Wao hudetect mali, hata uifiche kwenye bwanga, watanotice tu.
  13. Satan

    JamiiForums Tanzania Nimegombana na mchumba wangu, naombeni ushauri

    Mwache aende. Asiporejea kausha. Akirejea; tutakupa mipango kabambe. Kamwe hataondoka tena.
  14. Satan

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu Kuhusiana na wanawake

    Maisha yana mambo mengi sana. Mambo ni mengi. Kwa kipindi nilichokaa Duniani Kuwa na mwanamke inategemea na malengo yako kwake. 1.Kama mnasogeza siku; basi pesa zako ndo uimara wa kuimarisha bond yenu kwa kipindo mtakacho kuwa pamoja. 2. Kama mna malengo makubwa kuteka hisia zake ndio...
  15. Satan

    JamiiForums Tanzania Lissu ni kama Mandela. Watu wa hivi hawaamini katika Mali bali katika kile wanachokipigania

    Wanasiasa wa Kiafrica wapo kwaajili ya matumbo yao... Wana njia nyingi sana ila madaraka ni kwajili ya kunufaisha wao na familia zao binafsi.
Back
Top Bottom