Recent content by sasala

  1. sasala

    Mwakyembe: Marufuku kumuliza Azory Gwanda alipo. Mbona viongozi wa Serikali hamuwaulizii? Waliokashifiwa na gazeti la Tanzanite waende Mahakamani

    ewe mwenyenzi Mungu, mwingi wa rehema, tunakuomba waja wako umempende zaidi waziri wetu, umwite kwako mbinguni afurahi na malaika zako. Ameni
  2. sasala

    Mudhihir M. Mudhihir Awataka Akina Zitto Waachane Na Siasa Za Matukio

    Alimnyooshea Zito kidole akakatika mkono, sasa naona anatafuta kibaiskeli cha miguu mitatu
  3. sasala

    Dr Kigwangalla: Ajali niliyopata imenifundisha kuwa kifo kipo pia ni kweli Mungu yupo na maombi ni muhimu!

    Ni jambo la kushangaza kabisa mtu mwenye taaluma ya udaktari, yaani mtu aleyesomea, si chini ya miaka mitano, mbinu za kuzuia binadamu kufa, leo anasema ndio kwanza kajua kuna kifo baada ya ajali ya iliyosababishwa na mwendo kasi katika mbuga ya wanyapori. Ni jambo jema daktari huyu wa magonjwa...
  4. sasala

    Tofauti na Wahudumu wa ATCL waliodhihakiwa mitandaoni, kumbe ATCL ina visu balaa

    Ni jambo la jabu kabisa katika karne ya sasa kutizama ajira ya watoa huduma kwa kigezo cha sura na umbile badala ya taaluma na uwezo wa kutoa huduma? Hawa mabinti hawapo pale kuuza uchi, why do you judge them by their looks? We should start treating our women with dignity, bigotry should have...
  5. sasala

    Siku sita baada ya Adam Malima Kuteuliwa kuwa RC, Mahakama ya Kisutu imeifuta kesi ya kumshambulia Polisi iliyomkabili

    poor Afisa hope atahamishiwa huko akamlinde mzee sasa, getini patamfaa sana kuhakikisaha usalama wa mzee.
  6. sasala

    Sasa ni wakati muafaka kwa CHADEMA kuangalia uwezo wa Tundu Lissu kuendelea kuwa mwanasheria wa chama

    SAD. Tunakuombea kwa Mungu wa Lissu akuponye na wewe, maana mungu wenu huko anaweza kuwa choko, hakuna mnachofanikiwa.
  7. sasala

    Kutoheshimu bendera ya Taifa inaposhushwa

    Kusujudia kitambaa zilipendwa
  8. sasala

    Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    kina dada wa kitaa husema "ushoga ni kushikama kwa shida na raha, shoga wa kweli hamwachi shoga yake kwenye shida"
  9. sasala

    Askofu Shoo: Watanzania wenye nia njema tunamuelewa Rais Magufuli.

    Matusi siyo jambo jema katika kujadili hoja. Ikiwa mimi naamini kuwa makanisa ni sehemu ya watu kuwaibia masikini, wewe mwenye hoja mbadala iweke hapa nielimike. Matusi yanasaidia nini? Harafu wakati mwingine kabla ya kutoa maoni yako sikiliza na jitahidi kuelewa hoja ya mwingine.
  10. sasala

    Askofu Shoo: Watanzania wenye nia njema tunamuelewa Rais Magufuli.

    Siku nikitaka kusema hivo nitasema. Sipangiwi cha kusema, mimi mtu akinipangia cha kusema ndi sisemi kabisa (in Bashite lover voice).
  11. sasala

    Askofu Shoo: Watanzania wenye nia njema tunamuelewa Rais Magufuli.

    Ila kitendo cha kudhani askofu atatetea maskini ni tatizo pia. Ukitaka kuwaibia maskini kwa urahisi anzisha kanisa.
  12. sasala

    Waturuki wanataka Katiba kama yetu, wanataka strongman!

    Even Strong men/women dies but strong institution won't. WE want the latter.
  13. sasala

    Kamanda Sirro: Hadi sasa wameripoti wanne tu, ambao hawajaripoti tutawatafuta

    hivi bwana Siro zile tuhuma za rushwa keshahojiwa na yeye?
  14. sasala

    Kardinali Pengo: Maisha yamekuwa nafuu sana awamu hii

    ni vema kakumbuka kauli hii, kisha utajua Gwajima ni 'nabii' aka mzee wa misukule, "sijui amekula mahagwe ya wapi huyu" baba askofu Gwajima.
Back
Top Bottom